Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,

Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.

Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..

Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo

Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa

Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.

Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Nawapenda Sana wajeda mie.hawapendi ujinga ujinga
 
Unarejesha vipi heshima kwa kuvunja sheria? Ugomvi wa mitaani tena kwenye kumbi za starehe za raia ndiko wanajeshi wanatamani waheshimiwe wakati wenyewe hawajiheshimu?
 
Niulizie kwa hao MP wako wa Lugalo kuwa wataenda lini Kuhudhuria Misiba ya Wadada Wawili waliowajumuisha katika Kundi la mwanzo la Watu 74 na kwenda nao Kambini Kwao Mwenge na Kuwapa Adhabu Kali zilizowazidi Uwezo kiasi kwamba GENTAMYCINE nimetaarifiwa ( japo bado naendelea Kuthibitisha Taarifa ) kuwa Wamefariki dunia?

Ukimaliza niulizie Swali langu la mwisho kwa hao hao MP wako wa Lugalo je, Jana Usiku wa Saa 9 walipokuwa Wanawarejesha Kawe OIL COM Watu waliowakamata baada ya Kuwatesa sana Kambini Mwenge huku wakiwaambia waruke kuna Watu Wawili walishindwa Kuruka na Upumuaji wao nao ulikuwa hafifu na hawaongei walienda nao wapi kwani Ndugu zao wanahangaika Kuwatafuta.

Mwisho nakuuliza Wewe uliyefurahishwa Kuteswa kwa Raia wasio na Hatia na MP ws Lugalo je, umeshajiuliza ni kwanini Leo ( Jumamosi ) Siku nzima Wanajeshi wa Lugalo wamepotea Mitaani, hawana Amani, wanajishtukia na kuona mno Aibu kwa Raia?

Huna Akili pamoja na hawa Unaowatetea.

Cc: Msanii
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Mjinga koplo usu wewe

Wanajeshi wanaojitambua wanajua mipaka yao. Huyo kanali alijisahau kama ambavyo huwa wanajisahau wote kudhani wako juu ya sheria. Kuwa askari huwa mnawaza jamii inabidi iwajue na kuwanyenyekea hata kama hatuwajui mmevaa kiraia. Tumieni busara sometimes

Anyways huyo boda angeweza fanya hilo tukio kwa yoyote hata kama ni raia ambae ni mwalimu, dokta, injinia au mfanya biashara. Imetokea hiyo and there is nothing special msipige watu l!!!
We Msenche umeambiwa gari liliharibika tairi njiani katoka msenge mwenzio huko anakuja kumwambia kanali atoe gari anamziba njia kwa akili zako za kukata gogo ulitegemea kanali alibebe gari mgongoni aliweke pembeni? Acheni kutoa lawama za kisengesenge, wewe Msenche ungekua wewe ungelibeba gari uliweke pembeni ili mwali mmoja Mrembo apite?
 
Niulizie kwa hao MP wako wa Lugalo kuwa wataenda lini Kuhudhuria Misiba ya Wadada Wawili waliowajumuisha katika Kundi la mwanzo la Watu 74 na kwenda nao Kambini Kwao Mwenge na Kuwapa Adhabu Kali zilizowazidi Uwezo kiasi kwamba GENTAMYCINE nimetaarifiwa ( japo bado naendelea Kuthibitisha Taarifa ) kuwa Wamefariki dunia?

Ukimaliza niulizie Swali langu la mwisho kwa hao hao MP wako wa Lugalo je, Jana Usiku wa Saa 9 walipokuwa Wanawarejesha Kawe OIL COM Watu waliowakamata baada ya Kuwatesa sana Kambini Mwenge huku wakiwaambia waruke kuna Watu Wawili walishindwa Kuruka na Upumuaji wao nao ulikuwa hafifu na hawaongei walienda nao wapi kwani Ndugu zao wanahangaika Kuwatafuta.

Mwisho nakuuliza Wewe uliyefurahishwa Kuteswa kwa Raia wasio na Hatia na MP ws Lugalo je, umeshajiuliza ni kwanini Leo ( Jumamosi ) Siku nzima Wanajeshi wa Lugalo wamepotea Mitaani, hawana Amani, wanajishtukia na kuona mno Aibu kwa Raia?

Huna Akili pamoja na hawa Unaowatetea.

Cc: Msanii
Hio ndio inaitwa Chungu tamu kifo cha kanali ni furaha kwa raia Ila kifo cha wanawake wawili na kipigo wanachopokea raia ni uchungu kwa raia, yaleyale ya Israel na Palestina Israel kaanza kuchokozwa wajinga wakaanza kufurahia Israel karudisha mapigo wajinga wanaanza kulialia dunia nzima Moto anaopeleka Israel ni Moto haswa, Jeshi litabaki kua Jeshi
 
Shida jeshi letu halina kazi za kufanya, hivyo hutumia wananchi Kama sehemu ya kumaliza shida zao
Sahihi kabisa, hawana kazi ya kufanya matokeo yake ni kupika majungu kulewa na kulazimisha kuheshimiwa... Wapelekwe Gaza au Ukrainie wakalinde amani wakirudi watapata heshima.... Kenya, Rwanda na Uganda wanachangamkia sana kuingizwa kwenye peace missions na kuwatuma wanajeshi wao sehemu za machafuko... Sisi tunawafuga tu bila kuwa na kazi hadi kufikia kupiga raia....Jeshi Kama taasisi lidhibiti wanajeshi wake vinginevyo tukio la juzi linaashiria kuanza kulipa kisasi.
 
Tutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
Upuz mtupu,nyie hamna shuguli za kufanya au

Ova
 
Jeshi letu limepungukiwa nidhamu hususan kupitia hili tukio ambapo tulidhani Kamanda Nkunda angekuwa ameshawazuia vijana wake wasiwasumbue raia.

Kama Jeshi limeua raia inapaswa sasa tuwaombe ICC waje kuchunguza haya matukio kwani hakuna mahakama hapa nchini yenye chembe ya huruma kwa raia.

Mkuu Genta.
Kwa namna MP wanavyowatendea raia wa Kawe, ni waziri wa Ulinzi hatoshi
Ww ndio unasema hatoshi chagua wa kwako anaye tosha
 
Hio ndio inaitwa Chungu tamu kifo cha kanali ni furaha kwa raia Ila kifo cha wanawake wawili na kipigo wanachopokea raia ni uchungu kwa raia, yaleyale ya Israel na Palestina Israel kaanza kuchokozwa wajinga wakaanza kufurahia Israel karudisha mapigo wajinga wanaanza kulialia dunia nzima Moto anaopeleka Israel ni Moto haswa, Jeshi litabaki kua Jeshi
Siunajua mwanajeshi ni raia kabla ya kuwa mwanajeshi, umeumiza jamii nzima aisee. Idiosyncrasy will really make one kill each other.
 
Hii mianajeshi inajikutaga miungu watu,unaweza pita sehemu hawajaweka kibao au hamna taarifa yoyote au unaweza kaa sehemu ,mara wakatokea na kuanza kukurusha mara kukupiga au kukuonea tu.
Uonezi una mwisho ipo siku mtaona mwisho wake utakuwaje........
Hamna lolote mnajificha nyuma ya magwanda,
Inakuwaje ukaenda kuonea wanawake wasio na mafunzo hadi kuwauwa kwani ndo waliofanya tukio....afu pili hapo mmetengeneza doa KWA jamii,
Yani badala ya kuwaheshimu watakuwa wanawadharau....

Tuache kwenda taifa kuishangilia mijeshi ikirukaruka na et tunapiga makelele ni upuuzi.
Tuache kuchagua rais mwanamke ndo athari hizi
we boya tu labda hujui maana ya jeshi. eti iko siku. vijana vya siku hizi mipumbavu sana kila kitu kulalamika, ujuaji, hakuna adabu, mtafunzwa kwa nguvu.
 
Natamani sana mazali kama haya yanikute na yanitokee ya wanajeshi kuvamia raia na kuanza kuwatembezea kipigo. Yani huo mkono nitakavyowatembezea watajuta kuzaliwa
Nina uhakika ukiletewa komandoo mmoja tu kutoka ngerengere huwezi kupigana naye dakika zaidi ya mbili? Ila Kwa kuwa upo nyuma ya keyboard basi unatafuta umaarufu
 
Jeshi letu limepungukiwa nidhamu hususan kupitia hili tukio ambapo tulidhani Kamanda Nkunda angekuwa ameshawazuia vijana wake wasiwasumbue raia.

Kama Jeshi limeua raia inapaswa sasa tuwaombe ICC waje kuchunguza haya matukio kwani hakuna mahakama hapa nchini yenye chembe ya huruma kwa raia.

Mkuu Genta.
Kwa namna MP wanavyowatendea raia wa Kawe, ni waziri wa Ulinzi hatoshi
Hapo hatosh Hadi mkuu WA kikosi from up to down

Then Hadi sasa haijulikan nn kinaendelea
 
Kuna mjinga na kuna mpumbavu chagua kimoja. Mwanamke mwenzako amekufa nitajie mjinga na mpumbavu hapo? I swear hii nchi ikiendelea sijui, watu wananyeyekeana sana. Mungu tusaidie tu.
kwa jeshi lazima unyenyekee we kima
 
jeshi letu limejaa form 4 failure , akili za kipanyaroad ndo zimetawala , wengi hawajui majukumu yao
we kenge unajua hata majukumu yako. Heshima jeshi hao ndio ultimatum ya nchi. Kiukweli hawawabembelezi tena nawashangaa hao wa Kawe ilitakiwa mshughulikiwe kisawasawa
 
Unarejesha vipi heshima kwa kuvunja sheria? Ugomvi wa mitaani tena kwenye kumbi za starehe za raia ndiko wanajeshi wanatamani waheshimiwe wakati wenyewe hawajiheshimu?
kwanza nani kakuambia wanahitaji heshima yako
 
Back
Top Bottom