Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Tutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
Japo ni aibu kwa Kanali wa Jeshi kuuawa kwa kisu tena anachomwa na dogo dereva Bajaji tu. Hata mi asingenichoma na kuniua kizembe hivyo. Sasa angekutana na Al Shabab hali inhekuwaje kwa askari wetu.
 
Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,

Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.

Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..

Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo

Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa

Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.

Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Yaani umekesha six week unalalamikia humu Mike umefeli tembeza timbwili kawe anzia mzimuni pale bebesha watu dunia walie kama fisi maji...
 
Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,

Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.

Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..

Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo

Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa

Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.

Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Mbona hakuna anaewavunjia heshima,halafu uliachoandika ni kama vile umekurupuka sana, ,kifupi kama wewe ni Mwanajeshi, basi rudi hata college ujifunze kuandika hoja za kitaalamu, hii ni kama mwanafunzi aliejiunga Facebook,peanut thread
 
Ni kweli kabisa hakuna kuvunjiana heshima,zaidi ya vyanzo vingi vya ugomvi wao huwani mambo ya kipuz
Kuanzia ugomvia wa madem na wakati wakiwa wamelewa

Ova
 
Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,

Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.

Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..

Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo

Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa

Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.

Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Unaongea taka taka sana jamaa sijui mjeda wa kuunga unga ..hakuna sehemu watu wawe wema wote ila mianajeshi hii dharau nyingi sana uzuri kafa Ani hiyo haina back up...ni kuoza tu kaburini..
Sasa hawana Adabu ,Adabu inaletwa kwa kupiga wamama [emoji706][emoji706] jichanganye na wewe
 
Tutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
Wewe hakuna unachoelewa na kuvaa kote gwanda shenzi kabisa...nipo kawe njoo utembezee hiko kichapo tuone , tatizo akili hamna[emoji706] mnaingia huko Kwa kuunga unga wajomba na elimu za kufeli akili ipo kama papai...brariifackenn...
 
Dah hii Noma wakuu Kama kawe Bora ukakae jahanam
 
Niulizie kwa hao MP wako wa Lugalo kuwa wataenda lini Kuhudhuria Misiba ya Wadada Wawili waliowajumuisha katika Kundi la mwanzo la Watu 74 na kwenda nao Kambini Kwao Mwenge na Kuwapa Adhabu Kali zilizowazidi Uwezo kiasi kwamba GENTAMYCINE nimetaarifiwa ( japo bado naendelea Kuthibitisha Taarifa ) kuwa Wamefariki dunia?

Ukimaliza niulizie Swali langu la mwisho kwa hao hao MP wako wa Lugalo je, Jana Usiku wa Saa 9 walipokuwa Wanawarejesha Kawe OIL COM Watu waliowakamata baada ya Kuwatesa sana Kambini Mwenge huku wakiwaambia waruke kuna Watu Wawili walishindwa Kuruka na Upumuaji wao nao ulikuwa hafifu na hawaongei walienda nao wapi kwani Ndugu zao wanahangaika Kuwatafuta.

Mwisho nakuuliza Wewe uliyefurahishwa Kuteswa kwa Raia wasio na Hatia na MP ws Lugalo je, umeshajiuliza ni kwanini Leo ( Jumamosi ) Siku nzima Wanajeshi wa Lugalo wamepotea Mitaani, hawana Amani, wanajishtukia na kuona mno Aibu kwa Raia?

Huna Akili pamoja na hawa Unaowatetea.

Cc: Msanii
Genta kama genta
 
Moto wa Kuotea Mbali na Habari ya Mujini.
[emoji1] habari zinakuja zinasikitisha
+wasomaji wanacheka humo humo
Kuna moja nlicheka sana ,eti jamaa walikuwa wanajisaidia chooni wakachomolewa huko huko na kupewa kipigo
Mara kuna mtu mpaka sahvi anatambaa tu kwa kipigo [emoji1]

Ova
 
Kazi za jeshi la Tz ni
Umalaya,
Kupiga rai,
Kunywa pombe,
Kuvuta bangi,
Waenda Palestine maana Tz wanawanyonya walipa kodi hawana la maana wanalofanya!. Jeshi la watu wenye akili timamu hawezi kuweka bifu na raia...
 
Tutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
piga hao mbwa mpaka na wazazi wao kama wakileta kiherehere cha kuwatetea, piga mpaka wachakae, boda anaua askari jeshi, dharau kubwa sana hyo. halafu ilikuweje polisi wakagoma kuwakabidhi hyo kibaka mkamtindue mtaro kabla ya kunyonga kwa kutumia uboo wake? na nyie mkakubali tu, hv jeshi mmekuaje siku hz?
 
Na kanali mzima na cheo kikubwa kama huyo atakufaje kizembe

we hujasikia kuwa alimvizia, halafu kwa rank ya kanali anakuwa hana tena yale mazoezi ya kivita, anafanya mazoezi ya kuweka tu mwili fit.
 
we boya tu labda hujui maana ya jeshi. eti iko siku. vijana vya siku hizi mipumbavu sana kila kitu kulalamika, ujuaji, hakuna adabu, mtafunzwa kwa nguvu.
Kweli tuna wanajeshi form four failure ,ndo mana ina vitambi,haina kazi ya kufanya ,kazi kuua raia tena Wanawake ,mijinga sana, hivi kama uyajui ya congo,naigeria endeleeni pumbavu kabisa aue mwingine muende kuua Wanawake,yani ifike Mahari hamna kuwashangilia sijui akikukuta atataka lift mkazie,sijui favour kaza..... Hamna kuwapgopa mba wadharau tu,msipigane nao zaid ya kuwadharau tu
 
Wewe hakuna unachoelewa na kuvaa kote gwanda shenzi kabisa...nipo kawe njoo utembezee hiko kichapo tuone , tatizo akili hamna[emoji706] mnaingia huko Kwa kuunga unga wajomba na elimu za kufeli akili ipo kama papai...brariifackenn...
Tutawatafutia sababu tu mtajaa haiwezekani mfuge wauwaji mtaani kwanini ha hamuwafunzi vijana wenu kipigo kwa wazazi hadi watoto
 
Back
Top Bottom