Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,

Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.

Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..

Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo

Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa

Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.

Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Na akina mama nao wamewakosea nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapeni kichapo ila msiwaue tu

Wategueni viuno tu inatosha 😀,mpk waite maji mma
 
Ukikosa Hekima ni rahisi kudharaulika.
 
Natamani sana mazali kama haya yanikute na yanitokee ya wanajeshi kuvamia raia na kuanza kuwatembezea kipigo. Yani huo mkono nitakavyowatembezea watajuta kuzaliwa
Hawatakuua lakini,watakuvunja kiuno tu inatosha
Hapo utakua umenyooka 😀
 
Watembeze kipigo tu kwanza huko wamejificha vibaka wengi sana .... Kawe inapaswa ifanyiwe msako mkali sana na vipigo vizito
 
Iko kisu kikidakwa utaenda kambini kunywa supu na vidole viwili na iko siku utakuwa unakilamba kila asubuhi kikiwa cha moto
Msijifanye nyie miungu watu kuna majeshi bora kuliko nyie kuna iraq ,libya,afghanistan,yemen walianza ujinga wa kuua raia ,
Kuna majeshi kama marekani na nato, na au na nyie endeleeni kuua raia ,pumbavu jua ipo siku yenu
 
Lejesheni Heshima ila msiwaumize,msiwaue...tunawaomba wakuu
Wanaoleta dharau wengi wao either wanakaa kwa wale wazee wa unanifahamu mm nani au hicho chombo anachoendesha ni chahao wazee hawezi kua na kiburi km hana backup
 
Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,

Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.

Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..

Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo

Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa

Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.

Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Dunia ingekuwa na wapumbavu milioni moja kama wewe basi ingeangamia.
 
Hapo hatosh Hadi mkuu WA kikosi from up to down

Then Hadi sasa haijulikan nn kinaendelea
Unaonekana hata hujui nini maana ya Jeshi la Wananchi au Jeshi la Kujenga Taifa,
 
Dunia ingekuwa na wapumbavu milioni moja kama wewe basi ingeangamia.
Wewe ndio mpumbavu unakaa mitandaoni kudharau Jeshi la Nchi yako, kichwa chako kimejaa funza tena una bahati ilibidi udakwe uwe mfano hai kwa wengine wenye kichwa km chako
 
Dunia ingekuwa na wapumbavu milioni moja kama wewe basi ingeangamia.
Kwa hyo unaona sawa boda kuua askari jeshi, hv mkuu umeharibikiwa gari barabarani upo unafanya juhudi za kuitoa ili kusiwe na jam, anakuja mpumbavu mmoja anaanza kukurushia mtiusi ya nguoni (tena mpumbavu huyo ni kama mtoto wako) utaacha kumzaba vibao?
 
Ni kweli kbsa hata Hilo neno ni geni kwangu kbsa

Nisaidie kujua....
Mnabidi mpewe lecture za kutosha wengi wenu bichwa zenu hazielewi kitu kuhusu Jeshi, ndio maana Serekali inajitahidi mkimaliza six at least muende mkapewe lecture angalau muelewe Jeshi ni nini
 
Back
Top Bottom