reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Ushahama sumbawanga?!!Me nmesoma hizo shule ila nkianza kuelezea hapa kuna watu watakuja kubisha pumbav zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahama sumbawanga?!!Me nmesoma hizo shule ila nkianza kuelezea hapa kuna watu watakuja kubisha pumbav zao
Mkuu hii yako ni missed missile. Mimi ndiyo niliyekataa kwamba St.Kayumba hakuna maarifaUsijidanganye Mkuu, hakuna maarifa yoyote huko kwenye St. Kayumba, rejea AIBU aliyotupatia Prof. Mruma huko kwa Mabeberu.
Hahah eti kigoma huko na unajiona bonge la mtu hahahaUko kwenye mashirika mangapi mkuu...sema ukweli ni kwamba kayumba hana qualification worldwide, Cambridge ndio elimu inayotambulika dunia nzima. Wanaosoma Cambridge hawaombwi mambo mengi linapokuja suala la kuapply vyuo huko duniani na ni rahisi kupata scholarships kuliko wewe unaetoka kayumba, kwa wewe kupata scholarship ulaya na marekani labda ukasome masters au phd, lakini watoto waliopiga Cambridge ni wachache sana wanaolipa ada ulaya. Watu hawaangalii akili nyingi wanaangalia exposure, mtu unaakili nyingi wakati hata kiingereza hujui kuzungumza na unataka kufanya worldwide companies, mwenzio hana akili sana lakini anazungumza lugha tatu tofauti na zote ni international, chuo kasoma MIT, kazi kafanya 1st world countries yupo updated kwenye ufanisi na technologies, hiyo project yake tu sio poa wewe wa UDSM huna nafasi. Labda public health WHO kigoma hukooo.
St Kayumba tunakariri tu.Mkuu hii yako ni missed missile. Mimi ndiyo niliyekataa kwamba St.Kayumba hakuna maarifa
Kiufupi marafiki wa watoto wako wanaanzia shule. So chagua marafiki wa watoto wako unataka wawe wa namna gani.
Unaniandama sn we dadaUshahama sumbawanga?!!
Nakazia Apo mkuu,Kweli kuna ndugu yangu anafanya kazi shule moja ya awali ipo mikocheni inaitwa alexia, nilijitia kihelehele kutaka kumpeleka mwanangu akaniambia hii shule ada yake huiwezi kwanza wanaosoma hapo ni watoto wa mabalozi, mawaziri na madoni kucheki ada nursery tu ni usd 3500 kwa mwaka halafu ni day, nikasema kweli hii shule siiwezi ila hao wanafunzi wao wa miaka 5 wanafanya vitu mtoto wa darasa la pili au latatu wa english medium schools za milioni 2 hadi 4 kwa mwaka hawezi kufanya maana nilienda kwenye mahafali na exhibition ya shule yao. Tuzidi kutafuta hela kwa bidii kubwa
Labda uwe kada na baba ako awe chawa wa chama[emoji38]Usome shule ya kata hio connection unatoa wap?,
😅😅Kwani lengo la uzi ni kuhamasisha watu wawekeze kwenye elimu au kutaarifu watu wa Moshi wanasoma shule zenye mitaala ya kimataifa?
Una uhakika na unachosema ama unahadisiwa na watu ? By the way gharama za shule zinakuwa juu kutokana na grade mtoto aliyepo . Huwezi kusema 40m ni kwa kila mtoto from primary to high school.Zote ulizozitaja hazifiki 40mil. Ni IST braebun na HOPAC tu inayofikia hiyo gharama
Kwahiyo ukienda shule zenye mitaala ya Cambridge HAKUNA watu wengine, Ni wachagga tu??
Kampuni gani za ndege, sema tu Precision. Haya makampuni yana Siri zake. Kwahiyo Fastjet ilikuwa inamilikiwa na Masha msukuma??
98% ya wachagga bado wachuuzi tu na biashara za Bar.
Uchumi wa nchi hii unamilikiwa na Wahindi.
=====
DAR = wote.
Dodoma = Shabiby + Gulamali
Shinyanga = Jambo.
Iringa = Asas
Morogoro = Abood.
Tanga = Binslum.
Singida = Mo Dewji.
Ninyi kazi yenu kubweka bweka na vibiashara vyenu vya Bar, maduka ya bidhaa za wizi na wizi serikalini.
Kwa lugha ya wazi ni kwamba, unampeleka mwanao shule ili akatsfute UCHAWA kwa Watoto wa vigogo na matajiri.Kiufupi marafiki wa watoto wako wanaanzia shule. So chagua marafiki wa watoto wako unataka wawe wa namna gani.
Soko la hisa la bongo ni takataka.Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania.
Katika top 10. Weusi wapo wanne tu. Na hao weusi wote ni wachaga.
6 waliobaki wote ni weupe.
Wachaga wanatisha
The 10 richest Tanzanians on the Dar es Salaam Stock Exchange
Patrick Schegg a former Hedge fund manager, owns the most valuable portfolio on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) with his net worth valued at $23.5 million according to latest ranking of the wealthiest Tanzanian investors on the DSE done by Billionaires.Africa
The data used for this analysis is sourced from our data provider, S&P Global Market Intelligence, as well as publicly available documents and disclosures.
The valuation of their shares is determined by the prices recorded at the close of trading on June 26, with the valuations converted to U.S. dollars at the prevailing exchange rates.
It is important to note that Billionaires.Africa focuses on individual ownership rather than multi-generational family fortunes. In cases where the breakdown of ownership among siblings or couples is unclear, we attribute the fortune to the most prominent and visible member of the family.
Here are the 10 individuals who currently hold the highest stock ownership positions on the DSE.
1. Patrick Schegg
Net worth on the DSE: $23.5-million
Holdings: NMB Bank PLC, CRDB Bank PLC
Patrick Schegg, a former Hedge fund manager, owns the most valuable portfolio on the Dar es Salaam Stock Exchange. He holds a 1.94-percent stake in commercial bank CRDB and a 0.99-percent stake in NMB Bank. His shares in both banks are worth $ 23.5 million.
2. Aunali Rajabali
Net worth on the DSE: $23.4-million
Holdings: NMB Bank PLC
The Tanzanian tycoon founded Plasco Tanzania, a manufacturer of HDPE and UPVC pipes and fittings. Aunali and his brother, Sajjad Rajabali, own a 3.1-percent stake in NMB Bank.
3. Sajjad Rajabali
Net worth on the DSE: $23.4-million
Holdings: NMB Bank PLC
Sajjad Rajabali, like his brother Aunali, owns a 3.11 percent stake in NMB Bank PLC.
4. Hans Macha
Net worth on the DSE: $6.4-million
Holdings: CRDB Bank
Hans Aingaya Macha, a Tanzanian entrepreneur in the hospitality sector, is one of the largest shareholders of CRDB Bank PLC. His 1.25-percent stake is worth $6.4-million.
5. Ernest Massawe
Net worth on the DSE: $5.3-million
Holdings: TOL Gases Limited
Ernest Massawe is the founder and former managing partner of what is now EY Tanzania and former chairman of the Tanzania Association of Accountants. He owns a 32.49-percent stake in TOL Gases Limited. His stake is worth $ 5.3 million.
6. Murtaza Nasser
Net worth on the DSE: $2.7-million
Holdings: Tanzania Portland Cement
Murtaza Nasser owns 0.9% of Tanzania Portland Cement. His shareholding has a current value of $ 2.7 million.
7. Sayed Kadri
Net worth on the DSE: $2.1-million
Holdings: Tanzania Portland Cement, Swissport Tanzania, Tanzania Cigarette Public Limited
Tanzanian entrepreneur Sayed Kadri has a stock portfolio on the Dar es Salaam bourse that includes 0.59 percent of Tanzania Portland Cement, 0.5 percent of Swissport Tanzania, and 0.004 percent of Tanzania Cigarette Public Limited.
8. Said Bakhresa
Net worth on the DSE: $1.5-million
Holdings: Tanzania Portland Cement
Bakhresa, one of Tanzania’s wealthiest men, owns a 0.51% stake in Tanzania Portland Cement worth $ 1.5 million.
9. Arnold B.S Kilewo
Net worth on the DSE: $1.1-million
Holdings: 5.68-percent of TOL Gases, 0.013-percent in Tanzania Breweries
10. Harold Temu
Net worth on the DSE: $$720,000
Holdings: TOL Gases.
Hahahaaa! Classmate umetishaNi kweli nimesoma hapo IST watu wa Moshi walikuwa wengi sana mademu
nikusahishe ya kwamba IST wana tawi Arusha na kwamba hakunaga guarantee 100% ya kufanikiwa ila tunaangalia probability (uwezekano)
Arusha na moshi ni miji ya karibu sana wanashea vingi hata airport, wengi hufanya shughuli Arusha wanarudi Moshi and viceversa,
unataka list ya shule, ok!
Arusha Meru International school .
International school of Moshi
International school of Tanganyika
The Tanganyika schools
Keneddy house
St Constatine
UWC East Africa
Jaffery Academy
Christ Church International School
Sunflower internationa school
Kiufupi hawa watu wa Moshi na Arusha kwenye elimu wapo mbali mno, mtu akiwa na iwezo wa pesa haoni anasomesha huko.
Huko kwengine naona matajiri wengi bado wanakazania watoto wao shule hizi za Necta, bado wana mwamko mdogo kuamini kwamba shule ni saint marys ama saint francis.