Tutafika kama Taifa kwa aina ya “vijana wa ovyo” tulionao?

Ukatawaze kwanza mkuu
 
Maisha yakikaza kisawasawa, akili Nazo zitakaa sawa,
Kwa sababu ya ujinga Wetu ndo maana viongozi wa nafanya wanavyopenda wenyewe
 
Siku CCM ikitoka madarakani kila kitu kitabadilika na fikra mpya kuchipuka!
 
Watanzania wana changamoto moja,wanaamini hakuna wanachoweza kufanya,ni kama wame surrender na hawaamini kama kunaweza kutokea badiliko lolote kupitia mtu mmoja mmoja,
Zaidi ukijaribu kuongea mambo ya msingi watakuuliza maswali ya kukera na ya kipuuzi wakihisi wanajua kuliko wewe,kuanzia 45.... Kidogo wengi wanajua umuhimu wa mabadiliko
 
Hao madingi wanaeleke added time. Vijana ndio time yao saa hii na future ya watoto wao. Usipotengeneza saa hii then utaishi kama shetani
Huwa nasema naomba sana Mungu aniache niwaone wazee watokanao na gen Z watakuwa wa aina gani
 
Uzuri wa Bongo kila mtu anamlaumu mwenzake kuwa hachukui hatua!
 
Unatakiwa kuanza wewe Kwa kuonesha mfano sio kusakizia wenzako wewe uko ku chat jf.
 
Tuna amani,tuna mali tuna vijana nguvu kazi lakini hatuna akili pia hatuna uongozi .....kiufupi ni hivyo tu

Nadhani inabidi tuwe colonized tena
 
But usiwakatie watu tamaa. Watu wanaoonekanaga mazoba huwa wakijanjaruka moto wake kuuzima ni hatari
 
Nimeipenda sana mkuu ile one for the mother, one for the father and one for the country.

Watanzania bado sana kufikia hapo, wanachojua ni kufyatua watoto tu.
 
Well said. Lakini unafikiri hawa gen hovyo watakuelewa? Jibu ni hawatakuelewa.


Je tufanye nini ila kila mtu apate kuelewa?
Matatizo yaliyotengenezwa kwa miaka na miaka ya malezi mabaya hayawezi kutatuliwa mara moja, yatatatuliwa kwa miaka na miaka ya mipango bora na utekelezaji wake.
 
Mkuu Inaumiza sana juzi nilikusa tazara stesheni napanda train ya kigogo fresh.. Sasa Muda tunasubiri train lifike satu makjndi na makundi madam ni skmba na yanga..
Wanashindwa discuss. Mambo ya msingi
 
Nchi Bado inamianya ya kupiga kwasababu wajinga ni wengi ila kadri siku zinavyozidi kwenda wajinga wanapungua kwahiyo ni vyema kujanjaruka na kujiwahi mapema ukiwa na akili unaachana na sisi wapiga soga unashika chako unapita ivi mbaka itafika pahala hakuna Mwanya tena mabwenyenye na wajanja wamesha jiwahi ndo utaona watu haoooo wanadai aki zao kama kenya.

Sasa wewe endelea kuangaika na sisi ambao atufikirii future zetu tukishiba makande na yanga akishinda shida nyingine tunamalizia kwa mwamposa apo ciku imepitaaa......... OOOOHHOOOOO UTABAKI
 
Iq ndogo za, raia wa hili taifa .
Motherfvcking monkeys dances to the tunes of their slave masters
 
Ukitaka kujua taifa ni la watu wa aina gani ,sikiliza tu maudhui ya takataka za humu nchini zinazojiita vyombo vya habari ,kuanzia magazeti , radio ,tv stations NK
Ni mavi matupu
 
Mazingira, Genetics, history, religions
Watanzania wengi ni mataahira na maiti zinazotembea , hamna watu humu bali mazombie tu .
Jitu zima na vinyweleo kama steel wires kwenye sehemu za siri ,kutwa nzima linaongea mambo ya kipumbavu ,Simba na Yanga kila muda .
Yaani hili taifa si mkubwa si mdogo wote akili zinalingana na products hizi ndio reflection ya Hawa mataahira wanaofika kwenye nyadhifa za uongozi na kila siku tunaishia kupiga kelele humu kumbe ni product na reflection ya jamii nzima ilivyo .
Misingi ya hili taifa imeharibika muda mrefu sana ,sasa hivi tunachokiona ni matokeo ya failure .
Ni sawa na kujenga ghorofa kwenye msingi wa tope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…