#COVID19 Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

Ndiyo,,,mwafrika naijua vizuri akili yake.

Subili ifike utaona kama watapinga

Sidhani kama unawajua Mkuu. Waswahili wanakataa kuchemsha maji ya kunywa wakati wa kipindupindu ati kwa sababu hayanogi. Hivyo hivyo kwa ngono zembe. Wanadunda tuu.

Amandla...
 
Ndo ujue kuwa mama aliwaingiza chaka na boshen/ kuzuga kuwa alichanja na nyie mkaingia kingi.
 
Tunafuata uamuzi wa wananchi kwamba hatuchanji.............
 
Sasa hapo kuna sosho distansi? Yaani Samia ana kata tawi wakati amekalia tawi hilohilo
 
Ogopa korona mtaani, na nyumbani na si nyumbani mwake Bwana! Basi MUNGU na akane mwenyewe kuwa yeye si mwema na si mwenye huruma Kama sisi tunavyomnadi! Kama humjui MUNGU ndugu yangu, tuache sisi tunaemjua tuwe na amani mbele yake, hatuna haja ya barakoa nyumbani mwake!
Kuamini MUNGU anaponya Kisha ukavaa barakoa nyumbani mwake ni kupingana na andiko Hilo la "Imani bila matendo..."
 
atuchanjwi ata wakitoa elim upya
 
Kuchanja siyo hiari na lengo ni wananchi wote wachanjwe kwa mujibu wa Rais Samia.Kama haya masuala huyajui kaa pembeni kuficha ujinga.

Source:Rais Samia ahutubia Mkutano wa SADC Malawi

 
Wanapenda kutuvuruga sana! Sasa waliosema achukuliwe hatua na chama chake, sijui chama gani tena maana mwenye chama ndo huyo keshasema Gwajiboy oyeee.

Gwajigirl, ****** wajipange upya
Ndalilo nikufahamishe tuu hata kama utasigana na mimi, Siasa za uchaguzi elective posts kikubwa ni namba.

Mama lazima awe mpole mama kamili tutamuona 2025 to 2030. Usione kina Mbowe wanashinda kanda hiyo kila uchao wakati kuna kanda zingine wanamsubiri kwa hamu waongea na Mwenyekiti.

Kwenye uchumi kuna kitu tunasema Ujinga wa kukusia. Gwajima amekiepuka kikombe huyo.
 
Kwani Rais wetu siku hizi anacheza Bongo Muvi?
 
Mama alikuwa anapima kina cha maji sio...😊😊😊
 
Sukuma gang wameshinda
Mbowe alipewa pole alipofiwa na Kaka yake...... Baadae tukaambiwa Gaidi. Mchungaji Gwajima bado yupo kwenye blacklist ya Mama.

Ligi bado inaendelea,chamani na serikalini. Mzee wa uno zembe bado hajamaliza.
 
Halafu mnasema Gwajima na chama cha CCM hawakubaliki Kawe! Lazima ujitafakari sawa sawa kama una dhana hiyo. CCM inakubalika Kawe na Gwajima anakubalika Kawe. Leta hoja nyingine.
 
Kwa hiyo huyo Mungu ana uwezo wa kuzuia Corona ukiwa nyumbani kwake tu na mtaani hawezi kuzuia usipatwe na Corona?Kama anaweza kuzuia Corona ukiwa nyumbani kwake anashindwa vipi kuzuia Corona ukiwa mtaani?
 
Mleta post na wewe ulianza vizuri sema kuhusu jpm umeonesha upimbi wako. Nchi hii ilipo leo kwa mazuri yote ni kazi ya jpm ya miaka 5, regardless madhaifu yake yote atasalia kuwa mwamba na hata babu yako kijijini analijua hilo
Vile mwendakuzimu amefurahia kutokea huko kuzimu ulipomsifia hapa😁😁😁
 
Sisi tunafuata msimamo wao serikali wala sioni kibaya wao walisema chanjo ni mbaya leo hii zimekuaje nzuri tena ghafla?
 
Gwajiboy kuwa Gwajigirl soon (Waziri wa....).
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mabadiliko madogo madogo tu hayo...
Au mnasemaje Wakuu?
Mchawi mpe mwanao amlee!!! zilisikika sauti za wahenga fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…