#COVID19 Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

Mabavicha yanaumia sana yakiona falsafa za Magu zimo mioyoni mwa watu
 
Unauliza watachanjwa au hawachanjwi kudhibiti korona wakati at the same time unawakusanya watu barabarani ba kuweka msongamano!

Nadhani wameelewa sasa kuwa Watanzania siyo watu wa kupelekwapelekwa!
Naona siku hizi umekuwa mpoleeee!
.
Unaonaje mama anavyofuta legacy?

Taratubu mtakuja kukiri tu kwamba Magu akikuwa rais
 
Gwajima kajaza misukule yake ya kanisani halafu mnadai ni wananchi wa kawe!
Bila shaka ni misukule ile aliyoiteka kipindi kile ni mshenga wetu wa kumleta EL chadema!
 
Hyo video imeditiwa bana nilicheck wakiwa live naingia insta nakuta tofauti.
N. B Mimi sijafikiria kuchoma hyo chanjo
 
Chifu

chanjo ya korona is not a political game

it is a matter of life an death

tusikubali kuwa tokens za politicians wakuu

people die
 
Matapishi yanaliwa kila siku na chadema sembuse ccm

Rubbish
 
Mkuu unamchukia marehemu!!
Kweli una upungufu mkubwa sana wa akili. Hili la kupinga chanzo siyo Tanzania peke yake hata huko inakotengezwa chanjo wanaipinga
 
Mkuu unamchukia marehemu!!
Kweli una upungufu mkubwa sana wa akili. Hili la kupinga chanzo siyo Tanzania peke yake hata huko inakotengezwa chanjo wanaipinga
Hujaelewa nilichoandika.Mimi nazungumzia ukubwa wa kampeni aliyopiga marehemu vs athari yake katika jamii.
 
Hii inaitwa mbwa kala mbwa🤣🤣🤣
 
Mkuu unamchukia marehemu!!
Kweli una upungufu mkubwa sana wa akili. Hili la kupinga chanzo siyo Tanzania peke yake hata huko inakotengezwa chanjo wanaipinga
Hakuna anayemchukia bali matendo yake amarehemu ndio yana mhukumu
 
Japan has suspended the use of about 1.63 million doses of the Moderna vaccine due to contamination.
The health ministry said "foreign materials" were found in some doses of a batch of roughly 560,000 vials.
HATUCHANJIIIIIIIIIII!
 
Mama samia be carefully kitendo cha wewe kubadirika bila kutoa elimu ya kutosha sasa ulitangaza mambo muhimu sasa umegeuka wewe utatangaza utalii wenyewe watatangaza ukiukwaji wa haki unaoufanya
Ana deal na vity Petty🤣🤣
 
Hujaelewa nilichoandika.Mimi nazungumzia ukubwa wa kampeni aliyopiga marehemu vs athari yake katika jamii.
Amini usiamini mkuu, majority ya Watanzania walitokea kumuamini sana JPM hivyo kama alikuwa na mabaya au maamuzi mabaya bado wananchi wao waliyaona ni maamuzi sahihi. So kuondoa uaminifu huo kwa JPM itachukua mda mrefu sana.
 
Wananchi wa Tanzania kukataa chanjo haikusababishwa na kumwamini JPM bali kwa kuwa Tanzania ni Taifa lenye umasikini mkubwa wa akili ni rahisi sana wananchi wake kuyaamini na kuyakubali mawazo ya kipumbavu kwa haraka zaidi kuliko kuyakubali na kuyaamini mawazo sahihi.

Kwa kuwa mawazo ya JPM juu ya Corona yalikuwa ni ya kipumbavu basi wananchi waliyashika na kuyaamini haraka sana.
 
Duh
 
Awamu ya tano, chanjo hazifai. Awamu ya sita, chanjo zinafaa. Dilemma ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…