chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Nafikiri na kesi ya gwajiboy kule CCM itafutwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uelewa wako, nani anaaminika na wananchi Marehemu Magufuli au Mama Samia?
Sio Presidential material hutu. Initially aliwekwawekwa tu hapo kama VP just to tick the box. Nadhani makosa kama haya hayatarudiwa tenaTuna rais wa ajabu Sana katika taifa letu .
Naona siku hizi umekuwa mpoleeee!Unauliza watachanjwa au hawachanjwi kudhibiti korona wakati at the same time unawakusanya watu barabarani ba kuweka msongamano!
Nadhani wameelewa sasa kuwa Watanzania siyo watu wa kupelekwapelekwa!
Bila shaka ni misukule ile aliyoiteka kipindi kile ni mshenga wetu wa kumleta EL chadema!Gwajima kajaza misukule yake ya kanisani halafu mnadai ni wananchi wa kawe!
ChifuLeo wakati Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akielekea Bagamoyo kurecord filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania alisimama kwenye jimbo la Kawe ili kusalimia wananchi.
Rais alimsimamisha Mbunge wa Kawe ili kutoa neno lakini kabla ya kumsimamisha aliwauliza wananchi wa Kawe kama watachanja au la kama video inavyoonyesha hapa chini.Katika hali ya kustaajabisha na ya kushangaza wananchi walimwambia Rais bila ya kupepesa macho kuwa hawatachanja kama video hii inavyoonyesha hapa chini.
Nimejiuliza maswali mengi sana.Kwa nini Rais aulize swali hilo kwenye jimbo ambalo mbunge wake hakubaliani na mambo ya chanjo?Ina maana Rais hajui kwamba kazi kubwa ambayo walifanya katika awamu ya tano ya kupinga chanjo ilifanikiwa sana hasa ukizingatia kuwa kazi hiyo ilifanyika katika Taifa lenye umasikini mkubwa sana wa akili?
My take:
Kwa sasa hivi serikali ya CCM inapata shida sana kula matapishi yake yenyewe ambayo waliyatapika katika awamu ya tano.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.
Mkuu unamchukia marehemu!!Leo wakati Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akielekea Bagamoyo kurecord filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania alisimama kwenye jimbo la Kawe ili kusalimia wananchi.
Rais alimsimamisha Mbunge wa Kawe ili kutoa neno lakini kabla ya kumsimamisha aliwauliza wananchi wa Kawe kama watachanja au la kama video inavyoonyesha hapa chini.Katika hali ya kustaajabisha na ya kushangaza wananchi walimwambia Rais bila ya kupepesa macho kuwa hawatachanja kama video hii inavyoonyesha hapa chini.
Nimejiuliza maswali mengi sana.Kwa nini Rais aulize swali hilo kwenye jimbo ambalo mbunge wake hakubaliani na mambo ya chanjo?Ina maana Rais hajui kwamba kazi kubwa ambayo walifanya katika awamu ya tano ya kupinga chanjo ilifanikiwa sana hasa ukizingatia kuwa kazi hiyo ilifanyika katika Taifa lenye umasikini mkubwa sana wa akili?
My take:
Kwa sasa hivi serikali ya CCM inapata shida sana kula matapishi yake yenyewe ambayo waliyatapika katika awamu ya tano.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.
Hujaelewa nilichoandika.Mimi nazungumzia ukubwa wa kampeni aliyopiga marehemu vs athari yake katika jamii.Mkuu unamchukia marehemu!!
Kweli una upungufu mkubwa sana wa akili. Hili la kupinga chanzo siyo Tanzania peke yake hata huko inakotengezwa chanjo wanaipinga
Hii inaitwa mbwa kala mbwa🤣🤣🤣Leo wakati Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akielekea Bagamoyo kurecord filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania alisimama kwenye jimbo la Kawe ili kusalimia wananchi.
Rais alimsimamisha Mbunge wa Kawe ili kutoa neno lakini kabla ya kumsimamisha aliwauliza wananchi wa Kawe kama watachanja au la kama video inavyoonyesha hapa chini.Katika hali ya kustaajabisha na ya kushangaza wananchi walimwambia Rais bila ya kupepesa macho kuwa hawatachanja kama video hii inavyoonyesha hapa chini.
Nimejiuliza maswali mengi sana.Kwa nini Rais aulize swali hilo kwenye jimbo ambalo mbunge wake hakubaliani na mambo ya chanjo?Ina maana Rais hajui kwamba kazi kubwa ambayo walifanya katika awamu ya tano ya kupinga chanjo ilifanikiwa sana hasa ukizingatia kuwa kazi hiyo ilifanyika katika Taifa lenye umasikini mkubwa sana wa akili?
My take:
Kwa sasa hivi serikali ya CCM inapata shida sana kula matapishi yake yenyewe ambayo waliyatapika katika awamu ya tano.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.
Hakuna anayemchukia bali matendo yake amarehemu ndio yana mhukumuMkuu unamchukia marehemu!!
Kweli una upungufu mkubwa sana wa akili. Hili la kupinga chanzo siyo Tanzania peke yake hata huko inakotengezwa chanjo wanaipinga
Ana deal na vity Petty🤣🤣Mama samia be carefully kitendo cha wewe kubadirika bila kutoa elimu ya kutosha sasa ulitangaza mambo muhimu sasa umegeuka wewe utatangaza utalii wenyewe watatangaza ukiukwaji wa haki unaoufanya
Amini usiamini mkuu, majority ya Watanzania walitokea kumuamini sana JPM hivyo kama alikuwa na mabaya au maamuzi mabaya bado wananchi wao waliyaona ni maamuzi sahihi. So kuondoa uaminifu huo kwa JPM itachukua mda mrefu sana.Hujaelewa nilichoandika.Mimi nazungumzia ukubwa wa kampeni aliyopiga marehemu vs athari yake katika jamii.
Wananchi wa Tanzania kukataa chanjo haikusababishwa na kumwamini JPM bali kwa kuwa Tanzania ni Taifa lenye umasikini mkubwa wa akili ni rahisi sana wananchi wake kuyaamini na kuyakubali mawazo ya kipumbavu kwa haraka zaidi kuliko kuyakubali na kuyaamini mawazo sahihi.Amini usiamini mkuu, majority ya Watanzania walitokea kumuamini sana JPM hivyo kama alikuwa na mabaya au maamuzi mabaya bado wananchi wao waliyaona ni maamuzi sahihi. So kuondoa uaminifu huo kwa JPM itachukua mda mrefu sana.
DuhWananch sio wajinga wewe
Nenda makanisani mfano ya katoliki yaliyojaa wasomi wakubwa unakuta ni padri tu ndie kavaa barakoa ina maana waumini wote hawajielewi kasoro huyo padri tu? Wote hawajasoma na wana uelewa mdogo kasoro padri tu?
Ina maana wasomi wote wanaojazana makanisani na misikitini bila barakoa uelewa wao hawana?
Wananchi wanajielewa sana kuliko viongozi
Unapoona kiongozi wa dini yeye peke yake ndie kavaa barakoa waumini hawajavaa ujue kuwa waumini wana imani kwa Mungu kuliko kiongozi wao!!!! Kiongozi anaamini kuwa akiwa kanisani kwenye nyumba ya Mungu MUNGU ANAWEZA MTUPIA CORONA WAKATI WAUMINI HAWAAMINI HILO
Awamu ya tano, chanjo hazifai. Awamu ya sita, chanjo zinafaa. Dilemma ya kutosha.Leo wakati Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akielekea Bagamoyo kurecord filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania alisimama kwenye jimbo la Kawe ili kusalimia wananchi.