#COVID19 Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?


Wananchi wamesema hatuchanji wewe hao waliosema tunachanja umewatoa wapi?
 

Hawezi kuwakubali wote kwa sababu nia ya Rais ni kuhakikisha kuwa wananchi wote wanachanjwa kama ambavyo alishasema.

Ni vyema uwe unafuatilia masuala ya nchi yako ili unapokuja hapa JF usionekane kuwa ni mjinga.

Source:Rais Samia ahutubia Mkutano wa SADC Malawi
 
Kwenye video clip hii hapa chini (wakati Magufuli ndiyo rais), Samia anasikika akiwananga na kuwa ridicule "mabeberu" ambao eti sasa anataka kuwauzia ile "royal movie" yake - IRONICAL!

Producer "beberu" itabidi hii clip aiweke kama trailer halafu tuone kama hiyo movie yake itanoga!!

 
Gwaji hagusiki,Gwaji bado anaongoza dak ya 70.
 
masikini wee chanjo ishabuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ndio una akili,watu walikwisha kuchanja ni laki tatu,hivi unajua Watanzania wangapi wanaograduate kwa mwaka kwa kuwa na shaada?acha kutukana Watanzania, sasahivi Watanzania wameelimika,sio wa mwaka wa enzi hizo za mababu,kila kitu walichokuwa wanaretewa wanameza, Sasahivi Watanganyika atudanganyiki kiraisi,chanjo zenu zimewadodea,kadungeni family zenu.
 
Kwani kupata shahada ndiyo kuelimika?
 
Wanapenda kutuvuruga sana! Sasa waliosema achukuliwe hatua na chama chake, sijui chama gani tena maana mwenye chama ndo huyo keshasema Gwajiboy oyeee.

Gwajigirl, ****** wajipange upya

Tanzania is [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Spika hakupaswa na hapaswi kuwa na upande katika bunge, angeacha bunge liwe huru kutoa maamuzi,
But Mama hatabiriki kama alimpa M/kiti salamu za rambi rambi then baadae akamatwa
So hatabiriki
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema kama si Magufuli basi Tanzania watu wengi wangekubali kuchanjwa?
 
Balance maonin yako. Wapo waliosema tutachanja na waliosema hatuchanji. Hivyo, hakuna cha kuchana wala nini bali unaonyesha upande wako na kupiga chuku bila sababu.
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema kama si Magufuli basi Tanzania watu wengi wangekubali kuchanjwa?
Khaaa!!!Wapi nimesema kuwa kama siyo Magufuli?Umesoma nilichoandika kweli?

Mimi kwenye hoja yangu nimejikita zaidi kwenye ishu ya umasikini wa akili.

Rais yeyote hata kama asingekuwa Magufuli akitamka tu kuwa chanjo ni mbaya basi Watanzania wengi watamwamini sana kwa sababu ni ishu ya kipumbavu.Soma nilichoandika sitaki nirudie tena.
 
Na viongozi wote wa makanisa makubwa hasa RC wametoa amri watumishi wao wote wachanje.

Hata hivyo Rais yuko wazi na hafanyi propaganda za kijinga kama za yule mpuuzi,ukitaka chanja hutaki acha ,ukifa ni wewe sasa.

Tutafika mahala kama ukibainika una covid na umepelekwa hospital huenda ukatengwa kivyako kwa sababu umejitakia ilhali chanjo ipo na waliochanja watahudumiwa .
 
Tutafika mahala kama ukibainika una covid na umepelekwa hospital huenda ukatengwa kivyako kwa sababu umejitakia ilhali chanjo ipo na waliochanja watahudumiwa .
Kama kodi yake ya huyo aliyepata Covid iwe ya miamala ,tozo ,majengo nk kama hukuchukua sawa mfanyie hivyo!!!
 
Basi Mbowe nimkaidi (gaidi) alisema chanjo iwe lazima eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…