mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Ni kweli, lakini nanyi mkubali kwamba HAMJUI KUWA HAMJUI, NDIO MAANA MNADANGANYWA !!Tusioafiki chanjo tuheshimiwe pia tusitukanwe na kushambuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, lakini nanyi mkubali kwamba HAMJUI KUWA HAMJUI, NDIO MAANA MNADANGANYWA !!Tusioafiki chanjo tuheshimiwe pia tusitukanwe na kushambuliwa
Ndugai anajisikiaje uko aliko?Leo wakati Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akielekea Bagamoyo kurecord filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania alisimama kwenye jimbo la Kawe ili kusalimia wananchi.
Rais alimsimamisha Mbunge wa Kawe ili kutoa neno lakini kabla ya kumsimamisha aliwauliza wananchi wa Kawe kama watachanja au la kama video inavyoonyesha hapa chini.Katika hali ya kustaajabisha na ya kushangaza wananchi walimwambia Rais bila ya kupepesa macho kuwa hawatachanja kama video hii inavyoonyesha hapa chini.
Nimejiuliza maswali mengi sana.Kwa nini Rais aulize swali hilo kwenye jimbo ambalo mbunge wake hakubaliani na mambo ya chanjo?Ina maana Rais hajui kwamba kazi kubwa ambayo walifanya katika awamu ya tano ya kupinga chanjo ilifanikiwa sana hasa ukizingatia kuwa kazi hiyo ilifanyika katika Taifa lenye umasikini mkubwa sana wa akili?
My take:
Kwa sasa hivi serikali ya CCM inapata shida sana kula matapishi yake yenyewe ambayo waliyatapika katika awamu ya tano.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.
Chanjo ya covid hawatachanjwa, je!, ya ukimwi pia watapinga????
Aise,,bora weupe warudi kumtawala mtu mweusi.
Hili lizee nalo jamaniMungu ni mwema wakati wote!
CCM wafe woteMkuu CCM ni ukoo wa panya.
Naomba kila siku CCM ife, ipo siku
Acha zako hizo wewe. Kama kuchanja ni hiari na wao hawachanji kuna ubaya gani. Yote hiyo kutaka kuonyesha anti zako kwa magufuli. Mwenyewe alisema kama ni chanjo lazima tuzichunguze na kuona kama ni salama kwanza wala hakukataa. Ila vibaraka na maagent wa ubeberu wenye kukubali kwa furaha kila wakiambiwa kitu na wazungu bila kujiridhisha kama hamna hila ndio wanajidai wanajua saaana.Leo wakati Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akielekea Bagamoyo kurecord filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania alisimama kwenye jimbo la Kawe ili kusalimia wananchi.
Rais alimsimamisha Mbunge wa Kawe ili kutoa neno lakini kabla ya kumsimamisha aliwauliza wananchi wa Kawe kama watachanja au la kama video inavyoonyesha hapa chini.Katika hali ya kustaajabisha na ya kushangaza wananchi walimwambia Rais bila ya kupepesa macho kuwa hawatachanja kama video hii inavyoonyesha hapa chini.
Nimejiuliza maswali mengi sana.Kwa nini Rais aulize swali hilo kwenye jimbo ambalo mbunge wake hakubaliani na mambo ya chanjo?Ina maana Rais hajui kwamba kazi kubwa ambayo walifanya katika awamu ya tano ya kupinga chanjo ilifanikiwa sana hasa ukizingatia kuwa kazi hiyo ilifanyika katika Taifa lenye umasikini mkubwa sana wa akili?
My take:
Kwa sasa hivi serikali ya CCM inapata shida sana kula matapishi yake yenyewe ambayo waliyatapika katika awamu ya tano.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.
KWANI kuna shida gani ni haki ya kidemokrasia ya mtu kuamua tatizo lake likatatuliwe wapi iwe kujifukiza or whatever kama anaona yeye kama yeye vinamsaidia wewe kinakusumbua nini?Uzuri ni kuwa wengi wao wakiugua wataishia kwa waganga ambao watawaambia wamelogwa au kwa wakina Gwajima ambao watawafufua hata kama watakufa.
Amandla...
Unadhani hao wanaogopa ukimwi?
Amandla...
Huyu ukimuangalia utajua tu kuwa mgomo wa chanjo ulianza siku nyingi kwake. Ni kama hakupata baadhi ya chanjo zake akiwa under 5 ikiwemo kifaduro😄Polepole aliwakanya wanaotaka kulazimisha watu wachanjwe, bila shaka wamemsikiaView attachment 1920857
Wewe mtanzania unajua nini kuhusu chanjo zilizotengenezwa Ulaya? Unaelimu yoyote kuhusu chanjo? Kama hauna vyote hivyo, hata wewe ni wale wale bendera fata upepo.Ni kweli, lakini nanyi mkubali kwamba HAMJUI KUWA HAMJUI, NDIO MAANA MNADANGANYWA !!
Hata ingekuwa hivyo ameshajua wananchi hawataki chanjo.Inawezekana amevishwa kilemba cha ukoka ,Who knows ?!