Tuwaenzi na kuwakumbuka wanaJamiiForums waliotangulia mbele za haki

Huyu jamaa siku akipost humu nitafurahi sana. Sina hakika kama yupo hai
Tulikua washikaji sanaa Tulikua wazee wa pombeee 😊.

Mmaya zaidii sisi ni JF MONGER'S haipiti siku bila KUWEPO jukwaani.

Min me kama. Upo tuma japo ujumbe sio KAWAIDA kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…