Kwani dakika ngapi hadi Dsm?Execute: na wewe wa kuishi VIKINDU unajiesabia uko DASALAMAA
Kwamba hayo maeneo uliyotaja hakuna nyumba?Dar Kubwa mkuu!! Kuna watu wapo mkoa wanaishi maisha mazuri hawataki hata kuja "DIZIM"
-Nenda Shanty Town au Njiro au Gangilonga.
Dar kuna watu wanakaa sehemu mbovu sana ,ushawai kupita Tandale,manzese,mikocheni nyuma ya tmj,msasani maandazi road,kigogo bondeni near magomeni.
Ndio npo hapa malinyi nakunywa chaiVipi umepata breakfast?
Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?
Wengi wapo huko Kanda ya Ziwa, Magharibi, Kusini na Nyanda za Juu Kusini.
commentsMambo gani yanaweka vigezo kujua seriousness ya uzi?
SawA ntakutumiaTuma pm basi.
Kule sasa hivi hata masaki inasubiri.
kuna flight inaanzia kia kwenda New York ?....KIA ipo dar? 🤣 Majinga yapo mengi