Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Usipovionea huruma basi unakuwa na roho ngumu sana, kitoto kichanga kishapigishwa vumbi la barabarani sio siri ile picha ya yule mama hainitoki akiliniNi huruma sana hasa vitoto vidogo vipo mgongoni siku nzima, hatari Kwa afya na usalama wao
Wengine ni vichwa ngumu kweli, kuna mmoja alikuwa anawajibu kaka zake hivi, nanukuu, "wanitie mimi mauno mkate nyie" wake zenu hawawatoshi? ......kilichompata ni kuzalishwa watoto 3 chapchap kila mtoto na baba yake mimba 2 za mwisho hakuwa anajua hata wahusika mpk alipojifungua akaona muelekeo wa sura ndipo alijua nani baba mtoto, maisha yalimchapa sawasawa, alirudi anatambaa kuomba msamaha, lkn tayari kashaharibuKuna mmoja nilishamsaidia huko dodoma kipindi fulani jioni yake nikamkuta pale chako ni chako yupo na mtungu wa balimi.
"Eti wanitie mimi mauno mkate nyie"😁😁😁 huu mfano unafanana na wa dada yangu picha inaanza kwanza aligoma kwenda chuo akakimbilia kuolewa na Sharobaro wake now imebidi tuwatunzee tu wote dada yetu asije kuteseka 😅😅Wengine ni vichwa ngumu kweli, kuna mmoja alikuwa anawajibu kaka zake hivi, nanukuu, "wanitie mimi mauno mkate nyie" wake zenu hawawatoshi? ......kilichompata ni kuzalishwa watoto 3 chapchap kila mtoto na baba yake mimba 2 za mwisho hakuwa anajua hata wahusika mpk alipojifungua akaona muelekeo wa sura ndipo alijua nani baba mtoto, maisha yalimchapa sawasawa, alirudi anatambaa kuomba msamaha, lkn tayari kashaharibu
Hii ni sahihi kabisaBaba wa watoto wako wapi? Kuna Wakati natamani mno kuwaonea huruma lakini nyuma yao kuna wengi wameyataka na kukaidi ushauri wa wakubwa
Nakerekwa sana na watu maskini wanaozaa watoto bila kuwa na uwezo wa kuja kuwahudumia.Kama kuna mmoja nimemuona juzi kati hapo barabara ya bibi titi, mtoto mchanga kabisa hana hata wiki mbili ila mama mtu kashaingia barabarani anauza ndizi mbivu niliingiwa imani sana niliwaza vitu vingi mno
Msaidie mkuu -mfano hao watoto unadhani wamekosea wapiMm mdogo wangu nilimkalisha chini kumchana live, mpaka na chozi linanitoka namshauri hapo ulipoingia umejichanganya utanipa majukumu ya kulea wajomba tu lakini wapi hakunielewa. Ila sasahivi ananitafuta Kwa tochi hata nimsaidie lakini abadani haitotokea kama razi niipate tu kama ipo
Wao m ona wakitukuta tunasukuma mkokoteni kifua wazi jasho hadi kwenye mbupuz hawatupi sadaka?Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Nakerekwa sana na watu maskini wanaozaa watoto bila kuwa na uwezo wa kuja kuwahudumia.
Wanaleta viumbe duniani waje wateseke bila sababu yeyote.
Ingekuwa inawezekana, Watu maskini wasizae kabisa.
Maana hawa ndio wanaongeza idadi ya maskini wengine duniani na gharama za serikali kuhudumia maskini wapya kila siku.
Yaani wee jamaa mbona una roho mbaya sana.Nakerekwa sana na watu maskini wanaozaa watoto bila kuwa na uwezo wa kuja kuwahudumia.
Wanaleta viumbe duniani waje wateseke bila sababu yeyote.
Ingekuwa inawezekana, Watu maskini wasizae kabisa.
Maana hawa ndio wanaongeza idadi ya maskini wengine duniani na gharama za serikali kuhudumia maskini wapya kila siku.
Wao m ona wakitukuta tunasukuma mkokoteni kifua wazi jasho hadi kwenye mbupuz hawatupi sadaka?
Wee ndio great thinker....burudani pekee tunayomudu sie maskini ni hiyo ya kugegedana. Sasa kwa nini tusizalianeMkuu umeongea kwa hasira Sana na uchungu Ila furaha ya masikini ni watoto .
Muhimu Kama hivi wazae tu watoto wachache ambao watawamudu hii itapendeza Ila sio kwamba wasizae kabisa.
Ndio ukweli wenyewe huo ulishaona mwanamke akampa msukuma mkokoteni hela kasoro kwenye ile video ya zali la mentali 🤣🤣🤣🤣🤔🤔🤔🤔🤗 we jamaa
Wakuonewa huruma ni wagonjwa tu wale wasiojiweza.Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Kuna kipindi nilikuwa nawaonea sana huruma, pamoja na wale omba omba.Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
Kuna mambo magumu sana kuhusu hawa wanawake na ndo maana wengine tunawaoa kumbe umeoa kwa kumuonea huruma then anakuja kukutesa hadi unaanza kujionea huruma na wewe mwenyewe.Nilikuwa na house girl mshamba mbutika kamaliza gongo la mboto mwisho wa lami. Anavaa vitenge mpaka kwenye unyayo..
Baada ya mwezi akaanza kunawiri
Baada ya mwezi mwingine akapata simati foni. Shida ilianzia hapo
Jamani kama kuna binti ambaye nilimuasa kuhusu maisha yule anaongoza..
Lakini sasa hivi analea mimba aliyojaribu kuitoa mara tano ikishindikana.. Kapanga chumba cha giza kula yake ya kubahatisha.. Kakonda kabaki kichwa
Nawaza sana akijifingua future yake na mtoto itakuwaje