Tuwe makini Makanisa yalichangia mauaji ya kimbari Rwanda

Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....

..Tuwe makini pia mauaji ya kimbari ya Rwanda yalipangwa na kutekelezwa na watawala waliokataa mabadiliko.
 
Kwa hiyo mauwaji yanayofanyika kwa jina la ile dini ya "proud to be..." yanayofanyika hadi sasa huyaoni,
Mauwaji ya Rwanda yalikua ya kimbari na sio ya kidini soma historia vizuri.
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Nafikiri tunatakiwa tuambiane tuwe makini na chawa wanaochochea ubaguzi na mgawanyiko katika taifa kwa manufaa ya wanaojiona ni wamiliki wa taifa na mifumo yake yote.
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
No reform no election......

Peleka cinema za vita ukatishe wadanganyika...ndio zenu hizooo
 
Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
Hata useme neno Gani, nakwambia Samia Suruhu Hassan hapiti uchaguzi huu.
 
We bwege huyo mama labda wa kwako. Unafikiri kwa makalio au? Nani wa kumzuia Samia uchaguzi huu? Ht wehu hawawezi kukuelewa. Ishindi wake utaanzia 90%. Siyo hivyo tu ht 2030 atamweka mtu wake mjiharishe zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…