Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

nimecheka kibwege[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna siku utasahau kuweka pass word, watoto watapost picha chafu kwa watu wako wa heshima. Ni kuwa macho sana na simu.
Yes. Since niwe na family my phone is always clean and holy ,hata michepuko no,Mana simu yangu Sasa Ni ya watu wangu wote ,mtt ataomba kutumia,wife etc so respect yourself first
 
Hao walifungua shehe sema nao walimute kama wew tu
 
Ha ha ha ha dah
 
Baba Edina alikuwa na tabia ambayo ilimkost sana. Ni mtu mlevi sana. Analewa hadi mnaita analewa tena. Akifika ndani anapenda kuweka webcam kwenye laptop. Anawarekodi wanae. Saaa huwa alianza tabia ya kutekodi kunako 6x6....sikujua hadi siku alipotumq kwa bahati mbaya picha za Porto yaani mimi na yeye kwa mama yangu mkwewe.

Cha kwanza nilipigiwa simu mim mama akiliankwa kwikwi. Siku hiyo ilikuwa mbaya kwangu.
 
Dah una bahati sana nmeisoma huku moyo unadunda kabisa
 
Hahahaa mkuu umenichekesha sana aisee, umemuharibu mtoto 🤣🤣🤣🤣, yaani nawaza kichwani kwake alifikiria nini Hadi akaona akuletee tu hiyo simu.
 
nje ya mada
mimi kuna bwege aliniibia simu, alivyo fala aka post status r.i.p na picha yangu ***** yule

na simu akazima, acha habari zisambae wanao fahamu namba yangu nyingine ndio kunipigia

ikabidi tuweke wasap upya kumaliza tatizo

ndani ya mada

kuna dingi mmoja ni mngoni anapenda sana mambo hayo acha a post pilau

nikashindwa mvutia waya maana tuna heshimiana sana nikamwambia jamaa yangu amchek afute jamaa akafanya hivyo na kumjulisha mm ndie niliona

dingi hadi leo tukionana ana nambia hizi teknolojia za kujulia ukubwani ni shida sana kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…