Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

Mimi simu ilikuwa inazingua touch na nipo mkoa kikazi nasubiri nirudi Dar ndio nibadili, aisee sina hili wala lile simu ipo mfuko wa suruali, kwenye mida ya SAA sita mchana simu yangu Nokia ndogo simu inapigwa kucheki mshkaji wangu wa kitambo na tulikuwa hatujawasiliana almost miezi 6, napokea simu cha kwanza ananiambia wewe ..mse... ingia haraka WhatsApp status kafute kimeo chako akakata simu, naingia status nakuta pilau linapikwa limeivaa hatari nikafuta fasta na ile simu sikuitumia tena.
nimecheka kibwege[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna siku utasahau kuweka pass word, watoto watapost picha chafu kwa watu wako wa heshima. Ni kuwa macho sana na simu.
Yes. Since niwe na family my phone is always clean and holy ,hata michepuko no,Mana simu yangu Sasa Ni ya watu wangu wote ,mtt ataomba kutumia,wife etc so respect yourself first
 
Sad story: Tuko kwenye group ya familia, familia 5 tofauti tofauti, Sio ukoo, Humo kuna Wababa, wamama na watoto.

Mama mmoja wa familia moja akatuma kwenye group clip ya ngono, mbaya zaidi ni anal. Sijui alikuwa anamtumia nani masikini.

Group lilipoa siku 5 mfululizo hakuna aliyecomment chochote, yule mama sijui nani alimshtua akafuta baadae.

Mpaka leo hii binafsi sina uhakika aliyefungua ile video, na ambae hakufungua, Sina uhakika kama mama yangu na kaka yangu mkubwa walifungua, (maana hawa ndio niliowawaza sababu ndio wanaonihusu)

Mama yangu ni kama hajui kilichotokea, sina hakika na kaka yangu na siwezi anzisha huo mjadala na yeye…. Nilipita kwenye hiyo stress as if mimi ndiye niliyetuma, sijajua aliyetuma alijisikiaje na familia yake. Nisiwe mnafiki binafsi niliifungua ile clip maana sina auto download , deliberately niliidownload nikaangalia nikafuta .

Swali langu kichwani hadi leo, nani alidownload nani hakudownload [emoji23]
Hao walifungua shehe sema nao walimute kama wew tu
 
Baba Edina alikuwa na tabia ambayo ilimkost sana. Ni mtu mlevi sana. Analewa hadi mnaita analewa tena. Akifika ndani anapenda kuweka webcam kwenye laptop. Anawarekodi wanae. Saaa huwa alianza tabia ya kutekodi kunako 6x6....sikujua hadi siku alipotumq kwa bahati mbaya picha za Porto yaani mimi na yeye kwa mama yangu mkwewe.

Cha kwanza nilipigiwa simu mim mama akiliankwa kwikwi. Siku hiyo ilikuwa mbaya kwangu.
 
Me nature ya kazi yangu sometimes kama kuna kimeo tunakua job usiku kucha then narud asubuh. Sasa sababu sometimes tunakua job night basi nkawa natumia hiyo km advantage.

Sasa siku moja tuna kimeo fulan, kwa hesabu zangu nkajua nkajua hii kazi kufika saa sita usku itakua imeisha, ila sina uhakika.. ngoja niage kabisa kwa wife. Nkamtumia sms wife kuwa leo sirud. Kuna kimeo. Bdae nkapata wazo,hiki kimeo tukifanikiwa kukisolve, bora niende kwa mchepuko nkalale huko. Nkaandika sms, kumpanga demu kuwa leo nakuja sleep over ajiandae. Na asilale mpaka nifike. Ile sms badala ya kutuma kwa demu nkatuma kwa wife. Halafu sikugundua.

Saa tano hivi kimeo tukawa tumesolve,nakasepa kwenda salasala kwa demu. Nafika kalala fofofo. Nafika ananishangaa. Nauliza mbona umelala akat nmesema naja?? Nmekutumia sms.. anaangalia haoni sms. Kucheki kwangu sms ipo, ila nmeituma kwa wife.

Weeee nilitoka mbiooo nkachukua boda. Home ni mbali, boda akanambia 20k. Nkasema poa.. nafika home nagonga nafunguliwa wife alkua kalala. Nacheki naona simu yake iko chaji. Sms zote mbili hajazisoma.. nilifurahi saana
Dah una bahati sana nmeisoma huku moyo unadunda kabisa
 
Kuna apps zinaficha picha za mambo yetu yale. Bora ufiche hizo picha huko. Kuna siku mimi mtoto wangu mdogo kaomba aangalie katuni nilikuwaga nimeungwa kundi la wahuni fulani kumbe wametuma video chafu. Ghafla nasikia milio ya ajabu namuona na mtoto anakuja mbio baba hawa wako uchi ......
Hahahaa mkuu umenichekesha sana aisee, umemuharibu mtoto 🤣🤣🤣🤣, yaani nawaza kichwani kwake alifikiria nini Hadi akaona akuletee tu hiyo simu.
 
nje ya mada
mimi kuna bwege aliniibia simu, alivyo fala aka post status r.i.p na picha yangu ***** yule

na simu akazima, acha habari zisambae wanao fahamu namba yangu nyingine ndio kunipigia

ikabidi tuweke wasap upya kumaliza tatizo

ndani ya mada

kuna dingi mmoja ni mngoni anapenda sana mambo hayo acha a post pilau

nikashindwa mvutia waya maana tuna heshimiana sana nikamwambia jamaa yangu amchek afute jamaa akafanya hivyo na kumjulisha mm ndie niliona

dingi hadi leo tukionana ana nambia hizi teknolojia za kujulia ukubwani ni shida sana kijana.
 
Back
Top Bottom