Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona vichekesho hivi
Zamani wakati natongoza nilikuwa Natabia...kushare nyeti..yaani unachukua video fupifupi unampostia na yeye anajipiga picha na video fupi nakunitumia.

Sasa ninakawaida kuweka kwenye Google drive. Kauri miaka inavyokwenda nikifungua drive na kuona picha na video na wamama ambao zamani tulishare najishangaa nakujilaumu. Maana wengini wanasiasa na watu wenye heshima.

Simu moja nikapakua baadhi ya picha na video nikaweka kwenye simu na nikawa na miada kukutana na kiongozi huyu mdada mtu muhim sana. Baada ya kupata kinywaji tukalewa wote nikaanza kutimiza lengo langu na matakwa.

Nilitaka milio10 ama sivyo napost video zile... nilimwambia hapo nilizipakua zenyewe zipo sehem permanent..yule mama pombe zilimuishia.

Akapiga goti kuomba nisifanye hivyo...ishu bado inaendelea
 
Nimecheka na kukuhurumia asee.


Hii inanikutaga nimiwa nimelewa. Napost kwa mtu mwingine. Ila nimeamua kudelete namba na whatsapp za watu wote wa heshma. Nina whatsapp zaid ya moja...ninayoitumia nikiwa bwax ni ya wadau. Zaid ya hapo siingii za waheshmiwa
 
Daaah! hii kitu sitakaa niisahau aisee kuna siku nilikuwa na kapisi flan hiv chuoni kipindi hicho sasa kalikuwa kananipenda kweli wazee, kuna siku akaniambia niende geto kwake nikasema fresh kummbe ni trap nawekewa lakini akili ikadetect kitu nikasema ngoja niache smart niende na kinokia torch kangu, mara tumelala me nikapitiwa na usingizi kumbe akaamka akachukua simu akaanza kupekua sms na akakuta kuna demu mwingine ananitongoza asee i think alipanic maana aliandika sms ya matusi moja hiyo halaf akaenda kwenye contacts name akachagua majina yote ya kike halaf akaselect akatuma then akazima simu. Asubuhi nikaamka kucheki simu naona imezimwa nikajua me ndo nilizima jana usiku nikamuaga nikasepa ile nipo road naelekea geto nikasema ngoja niwashe simu itakuwa classmate walinicheki sana yaan ile mlio wa nokia unamalizikia tu naona simu ya mother inaingia napokea tu nakumsalimia tu na yeye ananijibu "MWANANGU NJOO NYUMBANI UNIELEZE HUKO CHUO UMEENDA KUSOMA AU KUVUTA BANGI " Duuuh!!!1! aisee alipanic kinoma sasa hapo ni Mother bado hao wengine wa kike waliopata ile sms like classmate, dada zangu, friends,,ect. halaf tena kiipindi hicho nilikuwa mpole flan hiv wakasema huyu mseminaristi kapigwa na kitu gani duuh!🙌🙌🙌🙌🙌🤦‍♂️🤦‍♂️ ilikuwa kisangaa
 
Starehe gharama.
 
'' Aisha Mimi napambana kukutumia hela na bado hunielewi,unataka nikutumie kiasi gani mpaka unielewe Kipenzi?Ona nimepambana mpaka hii laki tatu uliyotaka nimekutumia shida nini,ujue nakupenda sana na nahangaika sana kwa ajili yako?"

Ujumbe huo aliandika Mwamba katika familia yetu..na masaa machache baada ya kutumiwa hela ya matumizi ya chuo na ada kidogo.(900,000)

Sasa familia wamekaa jioni wanaangalia taarifa ya Habari,sms ikaingia toka kwa Mwamba.Ikijieleza hivyo kwa Aisha😀😀

Sebule ilikuwa ndogo ile siku,kuwa nyie Wapuuzi sisi tunahangaika kutafuta hela nyie mnahonga😀😀😀😀😀ona huyu Kaka yenu asivyo na akili.
 
Hii chai, huwezi kukossea kwa ku swap namna hiyo
 
Yes. Since niwe na family my phone is always clean and holy ,hata michepuko no,Mana simu yangu Sasa Ni ya watu wangu wote ,mtt ataomba kutumia,wife etc so respect yourself first
Mimi hata nikiacha simu zangu nyumbani masaa 25/7 itatumiwa na family member yeyote bila baya lolote kutokea na nina jua hata akitokea mtu mwenye nia ovu nami akajaribu kutuma ujumbe wenye nia ya kuvunja ndoa yangu kupitia mke wangu atamshangaa sana,labda yeye ndio awe mchora ramani.
 
Dada mmoja wa haja alikuwa na PC yake bhana, masela tupo gheto enzi za chuo akawa anakuja nayo tunacheki movie(hapo ma engineer tumesoma miaka 4 bila kumiliki PC hiyo ndio ilikuwa stationary yetu kazi zote tunaazima kwake).
Tukawa tunai connect na Subwoofer bluetooth bhana. Siku moja tumekaa gheto yeye yupo kwake mara tunasikia milio ya pilau tukasema nani kaliamsha mapema, sauti ilikuwa chini sana hatukuizingatia sabufa, jamaa mmoja akasema ngoja nicheki nje ile anatoka ndio anatusanua ni Sabufa, mara bidada kaja kuniita ndio nilikuwa tech man pale gheto anasema PC yake haitoi sauti,
jamaa mmoja akamwambia sie sauti tunaisikia mbona. Kwa aibu yule dada alijikuta jamaa wawili wamemla maana alikuwa anaringa sana ila baada ya pale akawa mpole mno. Mwenyewe alitaka kunipa ila kwa kuwa nilijua masela washakula nikaziua.
 
Unakaaje na pilau kwenye simu ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajitafutia kifo au kifungo mdogo angu. Acha kabisa hiyo blackmailling
 

Pole sana pombe zinahamasisha ujinga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…