Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

Sio ubishani ni katika kuangalia mazingira yaliyopelekea mpaka wewe ukawa hapo ulipo.

Upo hapo baada ya kushindwa, na hiki ndicho alichokiongea msemaji wetu na kikaungwa mkono na nyinyi. So mi niko hapa kuwakumbusha

Hata mpira nao ni sanaa inayosomewa, watu wanaingia darasani wanasoma namna ya kucheza vizuri, so huwezi kuikataa hoja ya usomi kirahisi hivyo.

Hao Pyramids ni failures waliokosa hata vigezo vya kushiriki CL.

Hoja yako ya Super Cup nimeiona ipo irrelevant kwasababu haihusishi michuano ya loser
 
Hapa unaongelea timu hizo kwenye misimu miwili tofauti...walikuwa vizuri wakati au msimu uliopita na wakapata sifa za kuingia UEFA..msimu huu wakati sasa mashindano waliyoingia ndio yanaanza kwenye ligi yao wanaweza wasiwe vizuri.
Liverpool na Chelsea ni moja kati ya team mbovu zaidi pale uingereza kwa sasa. Lakini wapo UEFA wakati Arsenal na Man U hawamo!
 
Ndio loser hilo hilo

Hao ni kama resetters waliofeli 4M4
Mashabiki wa Simba mnahitaji ELIMU ELIMU ELIMU, kuhusu soka cha kushangaza hata mashabiki werevu wa Simba wenye weredi wao nao huwezi watofautisha na mashabiki wasio na elimu ya shule ya Msingi au sekondari kama sio chuo wote ni Mbumbumbu
 
Kwa utafiti wangu mashabiki wa Yanga wengi hawajui soka ukiringanisha na wasimba.
 
Timu yoyote ni dhaifu au ni imara inategemea tu unailinganisha na timu gani..!!
Simba ukiilinganisha na Lipuli ya Iringa, Simba ni imara, lakini ukiilinganisha na MAN U Simba ni dhaifu wa kutupwa..!!
Labda man city sio mandonga united
 
Hapa unaongelea timu hizo kwenye misimu miwili tofauti...walikuwa vizuri wakati au msimu uliopita na wakapata sifa za kuingia UEFA..msimu huu wakati sasa mashindano waliyoingia ndio yanaanza kwenye ligi yao wanaweza wasiwe vizuri.
Same applies to CAF. Hawa wabovu wa sasa, walikua vizuri msimu uliopita. Ndicho nilichokimaanisha!
 
Huyo ni kichaa achana naye, thread hii ni kipimo tosha cha kuwajuwa mataahira wa JF.
 
Simba, Vipers
 
Ondoa hiyi PHD kwanza kwenye title yako mtu mwenye kiwango hicho cha elimu hawezi kuandika utopolo huu.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo anataka kulazimisha yeye anaakili sana kwa kupata F ya 34 kuliko wenzie wenye 0 wakati wote ni sawa na viazi tu.
 
Umeshaambiwa shirikisho huko ni mwendo bahati, vilaza wamekutana atakae mbaatisha mwenzie basi anakuwa mshindi kati ya wajinga, ukiona mjinga kamshinda mwenye akili basi ujue kadesa kwa mwenye akili ila haibidilishi yeye kuwa loser
 
Ni matumizi mabaya ya rasilimali kubishana na mtu wa kariba huu.

Achana naye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…