Tuzioneni tozo kwa facts na namba, zinaumiza hapa wenye namba tu

Hapo labda utafute ripoti ya cag utaona. Samia mimi namuona incompetent ingawa simhukumu sana.

Mkapa aliandika kwenye kitabu chake kwamba alipoapishwa mara ya kwanza kuwa raisi halafu akakabidhiwa hazina na hali ya kifedha alitamani bora asingegombea maana nchi ilikuwa empty.

Hiki kitu kuna siku Samia atakuja kukisema. Aliikuta nchi kwenye hali mbaya pamoja na kwamba alikuwa makamu.

Kiheshima Samia alitakiwa sasa hivi atuletee katiba mpya halafu 2025 asepe zake maana hatoshi kwa uraisi.
 
Rejea utafiti wa TWAWEZWA eti Washabiki wa YANGA/SIMBA wamefurahia sana Tozo mbalimbali.
Na mashabiki wa mondi na konde vany nk wako bize mikoani kuwakusanya watu

Ova
 
Hizo pesa zipo kwenye miradi ile ile iliyoanzishwa tangu awamu ya tano katika kuiendeleza. Tunaposema Samia amekopa maana yake ni serikali katika mipango yake.
Miradi hii hii inayoenda spidi ya kobe ?

Mbona enzi za JPM spidi ya at miradi tulikuwa tunaiona bila hizo tozo ?
 

Unaona sasa kumbe ni empty air, hauna chochote cha ku back up unayoyasena na uko subjective lkn hauna unachoweza kuonyesha na unategemea anachosema raisi Samia? Mpaka leo hii ulitegemea chochote positive kumhusu Magufuli akiseme hata kama kipo? BTW kuhusu hazina Gavana wa Benki Kuu alishasema kuhusu fedha za kigeni ambazo nchi inazo zinatosha kuendesha nchi kwa miezi 6, hiyo ni Benki Kuu ilisema, karibia mwaka uliopita, hatujui hali ikoje sasa hivi!
 
Ndio ninavyofanya pesa ya matumizi madogo madogo inakaa nyumbani.

Huko nakwenda mara chache.
hata hiyo mara chache jitahidi upunguze. uende huko ikiwa ni dharura kubwakubwa....hata kama huwa unaonja kinywaji jitahidi kibajeti cha kinywaji uwe nacho shimoni. ili isikimbilie kwenye ATM ukakumbana na tozo
 
Trickle down economics. Tuombe sana hao walamba asali waziingize hizo hela mtaani kwa kuwekeza hapa hapa nchini. Wakienda kuzificha Uswizi tumekwisha!
 
Pesa inabidi ziwekwe ndani,cha muhimu ni kuangalia usalama wa hizo pesa,kwani zikiwekwa ndani,huchochea uhalifu.
 
Lakini, ni nini mchango wa madini katika uchumi wetu? Ni kiasi gani makampuni ya madini yanalipa? Nafikiri tuanzie hapa isije kuwa wananchi wanabeba mzigo mkubwa wakati rasilimari inakombwa na wageni.
 
Mwigulu ndio hivyo katangaza kifo cha Mabenk. Ma
Hiki ndio kifo cha mabenki kimewadia, na ajira nyingi zitapotea.
 
Hizo fedha zimesainiwa kipindi cha magufuli na zinaendelea kuingia kwa awamu mpaka sasa kadri ujenzi unavyoendelea. Zinaingia kama mkopo kwa Samia na zinatekeleza mradi uleule.

Hapa jaribu kujifunza project financing utaelewa ninachoandika.
Huna ujualo
 
Rais wa sasa alikuwa makamu wa rais na makamu wa rais wa sasa alikuwa waziri wa fedha, Gavana yupo Yule Yule

Natoa Tu Taarifa
mungu wenu alishasemaga kuwa ashauriki, na ukimshauri umeharibu kabisa, kuna wakati PM alisema ashapata wanunuzi wakorosho, yeye akamjibu hataki kusikia habari hizo,ashamuamuru CDF maroli yaende kusini kusomba korosho,

Kilichofuatia baada hapo kila mtu anajua, soko la korosho likashuka na wakulima walitiwa umasikini wakutisha, mzee akawa anaogopa hata kutaja neno korosho, alikuwa one Man show
 
Alaa!!, Sialikuwa anasema anajenga kwa fedha za ndani sio za mkopo?? Na nyinyi mazuzu mkawa mnademka mkitikisa vikalio vyenu kwa pambio na kumsifu
Haueleweki unaongea nini..

Mimi ninaonesha namna magufuli alivyoanzisha tatizo la nchi kukopa sana baada ya kuharibu uwekezaji nchini. Huyu Samia ni incompetent hivyo hawezi kusimamia nchi kwa hali ilivyo. Anatakiwa rais mwenye akili kubwa.
 
Huyu alikuemo ndani na genge la minsters almost 80percent,wakati huo walikua wakila kuku kwa mrija, hivyo wote waliharibu kwa ujumla wao,na walichoharibu Wanaangushia mzigo kwa wananchi. These people are totally failed.
Ngosha hakutaka kushauriwa kwa lolote, kwa lawama zinamfaa peke yake,

Samia Ni Rais Bora kwa afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…