The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ndogo SanaKwenye faida ya hio miamala serikali wanawalipa ngapi ?, na umecheki overheads zao ni kiasi gani na shareholders wanalipwa ngapi ?
Huwezi kuwapangia watu bei bila kufanya due dilligence na kuangalia all costs involveld... Na kama ni rahisi sana kufanya kwanini Serikali isifanye hata kwa tshs elfu 2 na kukeep all the profits ?
Watu walimezeshwa propaganda tu imagine wewe uwe katika mazingira ambayo hukopesheki. Halafu aje mwenzio aweze kukopa 10 times more katika kipindi cha muda mfupi tu.Hiyo mikopo ya Magufuli aliyochukuwa imerekodiwa wapi? Wapi records? Mpaka Magufuli anafariki deni la Tanzania lilikuwa dogo karibia kuliko wakati wowote ule, sasa hiyo Mikopo gani unayoiongelea aliyochukuwa Maguguli? Deni la Tanzania limeongezeka kwa kiasi kikubwa sana kuanzia raisi wa sasa alivyoingia!
Kuna Kodi ya zuio tu kwa kila wakala mfano wa mpesa kama 10% am sure na hao wazalishaji kuna ma-service levy, income tax, WCF na mapochopocho mengi ukija kupiga hesabu mwisho wa mwaka kuna double taxatation za kufa mtu.... ila bado hakuna value for money kwa mwananchi....Ndogo Sana
Bora uweke tozo inajulikana ni pesa ya serikali kuliko Tax ambayo ni rahisi kuikwepa kwenye mnyororo mzima wa biashara.Kuna Kodi ya zuio tu kwa kila wakala mfano wa mpesa kama 10% am sure na hao wazalishaji kuna ma-service levy, income tax, WCF na mapochopocho mengi ukija kupiga hesabu mwisho wa mwaka kuna double taxatation za kufa mtu.... ila bado hakuna value for money kwa mwananchi....
Hawa watu nadhani hawajui kwamba hata uvumilivu una kikomo...
Watu walimezeshwa propaganda tu imagine wewe uwe katika mazingira ambayo hukopesheki. Halafu aje mwenzio aweze kukopa 10 times more katika kipindi cha muda mfupi tu.
Bora uweke tozo inajulikana ni pesa ya serikali kuliko Tax ambayo ni rahisi kuikwepa kwenye mnyororo mzima wa biashara.
Hapana hili niliwahi kusema ages ago... Tozo hizi zinakupunguza transactions na watu kutafuta njia mbadala...; Kupata kidogo kwenye kingi ni bora kuliko kupata kingi kwenye kidogoBora uweke tozo inajulikana ni pesa ya serikali kuliko Tax ambayo ni rahisi kuikwepa kwenye mnyororo mzima wa biashara.
Wapi transactions zimepungua? Hizo ni porojo 👇Hapana hili niliwahi kusema ages ago... Tozo hizi zinakupunguza transactions na watu kutafuta njia mbadala...
SoC01 - Kupata Kidogo kwenye Kingi ni bora kuliko kupata Kingi kwenye Kidogo
Ni bora kupata 1% kutoka kwenye elfu moja kuliko kupata 50% kutoka kwenye 10 (hapo utaona kwenye 1% utapata 10 na kwenye percent 50% utapata 5. Serikali imeamua kuongeza mapato kupitia miamala ya simu; unless otherwise sababu ni kuziua hizi kampuni za simu ili ushindani urudi kwenye mabenki...www.jamiiforums.com
Sio hela ya serikali? 😁😁.. Kiukweli huwa nasikia raha Sana nikiona nyie majitu ya Mijini mkilia Lia Kuhusu tozo..Inafanyia nini hio tozo, hela hio sio ya serikali!
Hela unayokata kwenye account ya mteja unaitaje ya serikali. Hela ni ya wananchiSio hela ya serikali? 😁😁.. Kiukweli huwa nasikia raha Sana nikiona nyie majitu ya Mijini mkilia Lia Kuhusu tozo..
Inafanya Kazi hizi hapa huku Kijijini kwetu 👇
Kwani mpaka uambiwe au kusoma sehemu ? mleta uzi kasema anatafuta njia kuacha kutumia benki, mawakala transactions zilipungua sana kwenye mobile money..., fraud za watu kutumia lipa kwa mpesa kwa kutoa pesa badala ya kununua bidhaa zimezidi..., hayo hayahitaji kuambiwa na hio inaonyesha Government walichemka ndio maana wamejitahidi kushusha mara mbili kile walichoongeza ingawa bado kipo juu na impact yako ni long term.... (imepunguza sana financial inclusive ambayo kama nchi tulikuwa tumepiga hatua kubwa)Wapi transactions zimepungua? Hizo ni porojo 👇
Akiacha yeye maelfu wanasajikiwa..Kwani mpaka uambiwe au kusoma sehemu ? mleta uzi kasema anatafuta njia kuacha kutumia benki, mawakala transactions zilipungua sana kwenye mobile money..., fraud za watu kutumia lipa kwa mpesa kwa kutoa pesa badala ya kununua bidhaa zimezidi..., hayo hayahitaji kuambiwa na hio inaonyesha Government walichemka ndio maana wamejitahidi kushusha mara mbili kile walichoongeza ingawa bado kipo juu na impact yako ni long term.... (imepunguza sana financial inclusive ambayo kama nchi tulikuwa tumepiga hatua kubwa)
Basi hiyo hiyo ya Wananchi ndio inatakiwa ikatujengee barabara Vijijini na vituo vya afya..Hela unayokata kwenye account ya mteja unaitaje ya serikali. Hela ni ya wananchi
sidhani hata kama wewe unaelewa ulichokiandika hebu rudia kusoma.... kuna uhusiano gani au unamaanisha mikopo ya wanafunzi na ajira ndio mbadala wa mitandao ya simu na banks ?Akiacha yeye maelfu wanasajikiwa..
Look here unaacha wewe,the same year serikali inasajili wengine maelfu Kwa njia ya ajira na mikopo ya wanafunzi wapya achilia mbali mitandao ya simu na banks..
Wewe acha ujinga,uki admit wanafunzi wapya wote wanatakiwa kuwa na accounts banks nk so unazalisha watumiaji wapya wa miamala..sidhani hata kama wewe unaelewa ulichokiandika hebu rudia kusoma.... kuna uhusiano gani au unamaanisha mikopo ya wanafunzi na ajira ndio mbadala wa mitandao ya simu na banks ?
Narudia tena Serikali ingeweza kupata maradufu ya makusanyo kwa kukusanya kidogo kidogo sehemu chache kwa wengi (bila kuwaumiza na wengi wangetoa bila hiana) kuliko kuwakamua kwa kutaka kingi..., wengi wanakimbia au hawana hata uwezo wa kuzitoa....
Hao wanafunzi walikuwa hawana akaunti kabla ? Na hao wanafunzi wazazi wao ndio mmoja wao ni kama huyu mleta uzi ambaye anatafuta njia mbadala ya kutuma pesa..., nahisi ataanza kutuma pesa kwa kutumia konda na kufanya malipo direct chuoniWewe acha ujinga,uki admit wanafunzi wapya wote wanatakiwa kuwa na accounts banks nk so unazalisha watumiaji wapya wa miamala..
Hizo data za watumiaji kuongezeka wa transactions umezitoa wapi ? Serikali iliongeza Tozo about 100 percent watu wakaja juu wakashusha mpaka 70% watu wakaendelea kulalamika wakaziba masikio...., nadhani transactions zikawapa majibu wameshusha anaother 30% kwahio realistically Tozo zimepanda kwa kwa about 40% kutoka hapo previously... Na kumbuka hizi tozo ni majina tu technically ni Kodi tu ambayo always watu walikuwa wanalipa kama VAT n.k. as well as mawakala na watoa huduma kama Kodi ya Zuio na mengine kila wapato faida yao....Hivyo hivyo na kwenye mitandao ya simu,kama tozo kubwa mwaka uliopita watumiaji waliongezeka itakuaje this time ambapo miamala imepunguzwa.kwa nusu?
Acha kuota mambo ya kijinga
Tozo ni uporaji tu wa fedha za raiaKuna watu wanajitoa ufahamu kabisa na kuzitetea hizi tozo