Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

Ikumbukwe club Bora ni Yanga na huenda mwakani ikabaki kuwa Yanga maana msimu wa 2023/2024 ndio imefanikiwa zaidi
 
Arajiga anapewa tuzo ya mchongoo. Hastahili kabisaa
Unadhani ni mwamuzi gani Bora wa kiume kwa Sasa nchini!? Jamaa anajitahidi sana ni rahisi kuona makosa anayofanya ila mazuri yake ni mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…