Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

Kuingiza sio shida watafanyia kazi malalamiko yake kwanza Cha kwanza diamond alidai kutopewa mrabaha na akaongeza zaidi system nzima ya ukusanyanyi miraba ujakaa vizuri na alitajihidi kuulizia inakuaje hawakumpa majibu yakuridhisha

2. Jambo la pili alihoji utaratibu mzima wa kupata nominees alishangazwa na utaratibu wa msanii kuomba kwa barua kuingizwa kwenye categories anayotaka
He!!! Barua tena?
 
Pua pua puaaaah...

E9E1D629-F899-4E3E-A063-CB834B1BE56F.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mchekeshaji wa hovyooooo
Alikuwa nani huyo. Maana hat upuuzi wa kuitwa loko chaneli siwezi angalia labda kama kuna msiba wa kitaifa
 
Wamemtrick Tu maana kajitoa wameamua kumpa kishika uchumba ili next year aiingize WCB
Wanaogopa kutengwa na WCB, wanajua ndiyo inayoongoza kwa fan base kubwa na wasanii wao wote ni A-list hivyo wakiwepo wataziheshimisha zaidi tu na excitement itakuwa ni kubwa zaidi.
Raha za tuzo ni majina kusababisha suspense, imagine hizo nominations zingekuwa na majina ya wasanii wa WCB yaani the whole shit would have been a completely different game.
Kujaribu kufanikisha hilo ndiyo wanamvuta karibu kisanii kwa ajili next year.
 
Back
Top Bottom