Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Nafikiri kinachofuata miaka ijayo TANZANIA ,KENYA NA UGANDA Genz wataaungana kupigania haki dhidi ya madikteta
 
Hiyo taarifa ni ya ukweli kabisa nimeona kwenye Tv ya France 24 hivi punde ikinukuu shirika la Amnesty International jijini Nairobi.

Hivyo ni masikitiko makubwa kwa wapenda haki duniani kote kwamba tumefika pabaya haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…