Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Wasiojulikana wanachafua taswira ya taifa na nchi kwa ujumka na hii inahalalisha hata ikitokea viongozi wetu wakapata shida chuki ndio uwe mwitikio!

Nakumbuka scenario ya Mo dewji in chumas regime Ile ilisambaa na kuhalalisha chuki kuu kwa chuma kabla ya march 21!!

Utekaji unamhribia mno mama kuliko tunavyodhani
 
Unahama nchi, unaenda Kenya au Uganda au ukanda huu wa Africa mashariki....!!??
Yule jamaa wa Rwanda kakatwa kichwa juzi tu hapo Uganda, yule mwanamke wa Rwanda alikuja kuchukuliw hapo Dar.

Km unahama nchi... nenda ulaya huko au Amerika
 
Ukamkuta mtabiri maarufu afrika mashariki na kati sheikh yahya Hussein, sheikh kitengo
Sikuamini, Sheikh Yahya ndani Botswana, halafu Kaijage alivyo fala hata hakushtuka huyu amenijuaje, na mara nyaraka zikapotea katika mazingiwa ya kutatanisha
Bonge la Movie
 
Mimi nafanya harakati za nini? Ninajaribu kuwaambia ukweli. Haya mnayoyafanya sasa hata akina Adolf Hitler, Bennito Musolini, Idd Amin Dada, Muammar Gaddaf, Saddam Hussein, na wengineo wengi waliyafanya kitambo tu.

Leo hii kiko wapi?
Kila zama na kitabu chake, huwezi acha wahuni wachache waharibu nchi kwa uchochezi. Lazima washughulikiwe
 
Samia wa 2020 akikutana na huyu wa Leo,vita Kali itapiganwa!
Kwa umri wake na muda mchache aliobakiza duniani,ni bora angeutumia kutenda mema na kuwa mcha Mungu!
Ila haya madaraka,Sijui yana uchawi gani kwa hii ngozi nyeusi!Tumetupiwa laana gani?
Kama Heche alivyotakiwa kukaa pembeni kupisha uchunguzi wa kufisadi pesa za tone tone, alitukana matusi yote kisa madaraka hataki kuachia ehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…