Nitafurahi sana nikisikia Siku Kale Ka Hilda Newton kamekamatwa.
Zilipopotea nyaraka ndiyo akakumbuka jinsi alivyomtazama kwa mara ya kwanza,kama mtu anayefananisha, sheikh alikua hajaiva upande huo,ndipo jamaa akashtuka na kuchimbaSikuamini, Sheikh Yahya ndani Botswana, halafu Kaijage alivyo fala hata hakushtuka huyu amenijuaje, na mara nyaraka zikapotea katika mazingiwa ya kutatanisha
Bonge la Movie
Hii ndio ile unamwambia jirani Yako kuwa mwanao ni mwizi,na yeye anajibu mbona mwanao naye ni tapeli!Kama Heche alivyotakiwa kukaa pembeni kupisha uchunguzi wa kufisadi pesa za tone tone, alitukana matusi yote kisa madaraka hataki kuachia ehe
Juzi kuna mpinzani wa serikali ya Rwanda alikatwa kichwa akiwa Kampala kwenye hoteli aliyofikiaHii mbaya sana. Watekaji wamekuwa wa kimataifa
Hehehe, kwa iyo hao wanaharakati uchwara wanavyomtukana Samia ni wacha Mungu dahHakuna jema linalotegemewa kutoka kinywani mwa mfuasi wa ibilisi shetani wa kiwango cha mtu kama Mwashambwa!! Mwashambwa anazidi kudhihirisha kuwa nafsi yake ni makao ya shetani. Lakini kwa wakati ulio sahihi MUNGU WA HAKI atamdhihirishia kuwa shetani anayemwabudu na kumtumainia si chochote mbele ya Mungu, ndipo atalia na kusaga meno.
Ni kweli kabisaRoho inaniuma sana. Najua atapata tabu sana...
utakufa tu, hata ukawa chawa kupita wote........Mungu hakuachi aslaniKama Heche alivyotakiwa kukaa pembeni kupisha uchunguzi wa kufisadi pesa za tone tone, alitukana matusi yote kisa madaraka hataki kuachia ehe
Wewe sio muovu mm naamini hivowacha nikae kimya kwanza
Kwahiyo ukija kujua sio muvi ni kweli watu wanatekwa, ndio utajidhihirisha wewe ni nanihiyo ya Twaha huko Machakosi si director wa drama mwenyewe maria sarung ndio kafanya yake.
Mungu yupo Mungu ni mwemaAmeshindwa kumlinda asitekwe.
Sasa itakuaje ndugu wanaharakati wafanyajeCanada kuna unafuu kiasi lakini huyu waziri mkuu wao naye anachukua hatua za kupunguza uhamiaji wa kila aina kwa kiasi kikubwa.
Nchi yetu imekuwa kama kitu cha kuchezea, kila mtu anafanya anavyotakaWe were a country that was a safe heaven for ather nations.
But as of now everything has vanished and we have turned into refugees in foreign countries and still we pursue each other even there.
We are no longer safe.
Cc ShesRise_1 hope you are safe