Halafu wakampa Samia kura zaidi ya milioni 30?Waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 37, unashangaa nini watu milioni 32 kupiga kura? Mbona hushangai waliojiandikisha?
Huo ni Mfano mfu maana alijichanganya akaingia ubalozini kwake huku akisahau ubalozini ni sawa yuko nchini kwake alikokimbia!kASHOGHI ALIUAWA NCHINI UTURUKI. JE, UTURUKI NI DEVELOPED AU DEVELOPING ?
Ongea tu. Rais yupo Ikulu.Waliopiga kura nchi nzima pengine hawafiki milioni mbili
Miaka yote Uchaguzi Mkuu ni huru na haki kwasababu hakuna Mahakama yoyote Tanzania uliishawahi kusema tofauti.Wanachopigania watakatifu wanaotekwa kila leo ni chaguzi zijazo ziwe huru na haki
unakosea SIO MUNGU HUYO.hata hivyo kwanini siasa zetu ziwe za kuuana na kutekana?Sio wangu sema m/kiti wetu mimi na wewe maana anaweza amua atalo dhidi yetu na hakuna wakumpinga
Alikuwepo magufuli hapo,Ongea tu. Rais yupo Ikulu.
Shida sio mama shida ni wanachi msiojielewa.unakosea SIO MUNGU HUYO.hata hivyo kwanini siasa zetu ziwe za kuuana na kutekana?
Kuna umuhimu wowote ?
Nini mana ya chama vingi?
Ukiwa na mamlaka ndo utese watu kisa wanakupinga.
Binafsi huyu mama nimeshamkataa kabisa kabisa hata nikiona picha yake naona weusi motoni mwangu.hata nikimskia aliongea naona kero
Tungekuwa hatujielewi tungetembea uchi.Shida sio mama shida ni wanachi msiojielewa.
Fikiria vizuri
Utawala wa sheria upo.Shida sio mama shida ni wanachi msiojielewa.
Fikiria vizuri
What's your point? Kwamba kwasababu hawa ni watemi watakufa tu. Si ndio? Haya. LISSU unayempenda akiwa Rais yeye HATAKUFA?Alikuwepo magufuli hapo,
Misri alikuwepo firauni.
Ujerumani alikuwepo Adolph Hitler n.k
Wapo wapi?
Kenya ya nyoko hii iliyoshinda kumaliza al-shaabab?Tulia fisi wewe
Unaijua Kenya wewe au unataka kupakatwa
Kwani M23 wanasemaje ?Kenya ya nyoko hii iliyoshinda kumaliza al-shaabab?
Mpaka wakasaidiwa na marekani kwa kuuza Westland?
Umbea nyie
Watukufu sana wanaharakati waliohatarisha maisha yao wanapigania pia katiba mpya itakayoupa muhimili wa mahakama uhuru wa kufanya kazi zake na nguvu kubwa, ili zisipelekeshwe na rais au chama tawala.Miaka yote Uchaguzi Mkuu ni huru na haki kwasababu hakuna Mahakama yoyote Tanzania uliishawahi kusema tofauti.
Hao ni wanaharakati uchwara na wajinga.Watukufu sana wanaharakati waliohatarisha maisha yao wanapigania pia katiba mpya itakayoupa muhimili wa mahakama uhuru wa kufanya kazi zake na nguvu kubwa, ili zisipelekeshwe na rais au chama tawala.
Lakini zitoe maamuzi ya haki
Kwanini umewatukana wanaharakati wetu mashujaa bila aibu.Hao ni wanaharakati uchwara na wajinga.
Kama unataka kuniteka karibu. Nakaa jirani na Heche John hapa Majengo, Mkolani, Jijini Mwanza.Kwanini umewatukana wanaharakati wetu mashujaa bila aibu.
Je na sisi tukuteke (maana huwa mnasema wanatekwa kwasababu wanawatukana viongozi)
Lakini hapana tutakuelimisha tu.
Thamani ya uhai wako ni kubwa sana haiwezi lipia mabishano haya ya vijiweni.
Wapo wanaokutegemea Bwana Mungu akupe uzima akujalie uwalee vizuri wakue waipigie kura Chadema
Gerson Msigwa alisema vyombo vyetu vinafuatilia kila kinachoendelea mitandaoni.Kama unataka kuniteka karibu. Nakaa jirani na Heche John hapa Majengo, Mkolani, Jijini Mwanza.
Kuhusu wanaharakati, quote me, ni wajinga, wapumbavu, washenzi na maamuma wasiojua kitu.
Niendelee?
Ahahahahaha!!!Gerson Msigwa alisema vyombo vyetu vinafuatilia kila kinachoendelea mitandaoni.
Nichukue nafasi hii kuwakumbusha watu wa vyombo
Huyu hapa katoa na taarifa za anapoishi anawatukana viongozi wa upinzani. Ashughulikiwe kwa kadiri ya utamaduni wa utekaji. Na kama haiwezekani kutekwa basi na wale wanaotukana viongozi wa Chama kilichoshindwa kukomesha umaskini wa watanzania wasitekwe pia
Baada ya huyu mama, huyo atakaekuja ndio atakuwa katili zaidi, sasa sijui utakunywa sumu? vipi magufuli ulimpenda alivyomtandika tundu lisu risasi?unakosea SIO MUNGU HUYO.hata hivyo kwanini siasa zetu ziwe za kuuana na kutekana?
Kuna umuhimu wowote ?
Nini mana ya chama vingi?
Ukiwa na mamlaka ndo utese watu kisa wanakupinga.
Binafsi huyu mama nimeshamkataa kabisa kabisa hata nikiona picha yake naona weusi motoni mwangu.hata nikimskia aliongea naona kero