Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Kiongozi wa sisiem akifa,tunatakiwa kufanye sherehe!
 

Attachments

  • Screenshot_20260514-220943~2.png
    600.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20261004_160309_Instagram.jpg
    90.8 KB · Views: 3
  • 20260930_221723.jpg
    57.6 KB · Views: 6
Kuunda tume ni funika kombe. Oktoba 29 ya mwaka huu, leteni nyoro zenu barabarani na muibe mali zetu muone! Nakuhakikishia hata majivu HAYATAONEKANA!!
Kasome kisa cha chawa mwenzako Peter Kalihose kabla hajajiua. Alikuwa na kiburi Zaidi yako, wewe huna kiburi Bali unajifunza. Ila mwisho alijiua. Nakushauri tu Omba uzima. Kuna mambo Bado hujayaona. Kuna watu waliongea kwa kiburi Zaidi yako kama vile nchi ya baba yao Leo wapo wapi.
 
Siku nikiikosea Serikali na nchi yangu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, USINIHURUMIE nitakapoadhibiwa!
 
Mmeanza lawama za kijinga. Yani nyie wanaoonewa ndio mnawashambulia. Wewe umeambiwa huyo Twaha amekuwa anatafutwa kwa muda mrefu, wewe unaanza kuongelea mambo ya Pambalu.
 
Ugaidi wa Kidola Unavyopata ufadhili Kutoka Vyombo Vya Watawala. Wafafanuliwa, mambo yanavyofanywa, uwezeshaji wa operesheni n.k


24 October 2026

We Have Overwhelming Evidence That Politicians Sponsor Terrorism – Commodore Olawunmi (Rtd) Part 1​


View: https://m.youtube.com/watch?v=vT-P3pikd-UWe Have Overwhelming Evidence That Nigerian Politicians Sponsor Terrorism and Islamic Jihadism – Commodore Kunle Olawunmi (Rtd) Part 1Who is really behind Nigeria’s insecurity?


Are terrorists operating on their own, or are powerful forces within and outside the country pulling the strings?Retired Commodore Kunle Olawunmi, former Commandant of the Defence Intelligence College and former Deputy Director of Defence Administration at Defence Headquarters, makes explosive allegations about the forces sustaining terrorism and insecurity in Nigeria.

Drawing from his years in military intelligence, Olawunmi alleges that hostile foreign intelligence services are actively involved in destabilising Nigeria. More disturbing is his claim that some highly placed Nigerian government officials are themselves sponsors of terrorism.

If the Nigerian state knows who the sponsors of terrorism are, why has it failed to bring them to justice? Olawunmi points to political interference, powerful vested interests and a system in which national security can become hostage to political calculations.

He also takes the conversation into the shadowy world of the deep state, examining the invisible networks of influence that, he argues, wield enormous power over political leaders and shape decisions affecting Nigeria's security and future.
 
endelea kificha Id yako tu
 

Kazi chafu huishia kwa uchafu pia kupoteza ushahidi.

Ukifuatilia kwa undani magenge ya watekaji enzi za jiwe yalivyokuwa "dissolved" utajua na hao vidampa wa kazi chafu wakishamaliza kazi huwa nini kinafuatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…