Twendeni Msikitini, maombi yetu ni muhimu sana kwa Taifa

😹😹😹
Kumradhi ukthy 🤣
Si unajua leo kina happen live band watoto wakare wapo kwa wingi..!!
Na kuna watoto wakali kule, hadi unajiuliza mbona hua hatuwaoni mchana! wameshushwa au? 🤣🙌🏻

Ila unanitamanisha live band ndo mambo yanguuu
 
Hata mimi unanipenda?
 
Nitajie aya kwenye Qur'an inayosema Ufeminist na Mapenzi ya jinsi moja yanamtoa mtu kwenye Uislam,

Usiruke ruke, nipatie aya inayosema hayo

Hiyo aya watakupa waislamu wenzako.
Kama mimi nisiyemkristo najua hayo kuhusu uislamu sasa wewe uliyemuislam ukiniuliza mimi nazidi kukuona mamluki katika dini za watu na unataka kuzichafua.

Wakipata muda waislam watakusaidia,
adriz Malaria 2 Covax na wengineo

Homosexually n ufeminist upo mbali na dini za Abrahamu. So wewe ukisema ni mpagani au kidogo mkristo utaeleweka
 
Kwa hiyo nishike lipi, nisubiri 'waislam wenzangu' wanipe Aya au mimi ni mkristo maana ndio unasapoti ufeminist na homosexuality?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…