Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

ipo siku utahama dunia, maana mambo ya ngono yapo kila mahali live kabisa
 
kweli kabisa tweeter imeisha uzuri wake hii ni sababu wasimamizi wa tweeter hawapo makini wanafunzi wa shule ndio wengi humu tweeter unaweza kuuliza kitu upate ufafanuzi watakutukana watakukejeli au wataleta issue nyingine tofauti na ulivyouliza ili waharibu tu maono yako
 
Porn twitter zipo kitambo tu ila kuna features za kuhide sensintive na adult content unahisi upend izo mambo nenda kwenye privance setting zuia.

Twitter ni mtandao wa kikubwa sana wa watu wanaojielewa na Porn ni content za wakubwa wenye umri wa miaka 18+.

hawa watoto wa Facebook walioingia mule ndo wanapiga kelele
 
You are arguing off point. Even after being told that this is off point.

I suspect you have a reading comprehension issue.
 
Kuna yule mdada anajiita Cyntacute na nyuzi zake watoto wameshalala thread amepewa mpaka blue tick kwa thread zake zile
 
hizo ndio zako.....hazijileti, zinajua fika aidha wazitazama au mteja wa papa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…