... mkajiandikishe na kujitokeza huko! Hayo mengine hayawahusu.Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hice iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha
6 waandishi na 8 wananchi.
Lakini leo wale waandishi 6 ndo wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8 hata hawasemi habari yao.
Media msivutie tuu kwenu
Duuh aisee,basi huyu inawezekana alikuwa tisi