Ubaguzi wa Serikali kufuatia ajali iliyohusisha waandishi

Ubaguzi wa Serikali kufuatia ajali iliyohusisha waandishi

Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hice iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi.

Lakini leo wale waandishi 6 ndo wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8 hata hawasemi habari yao.

Media msivutie tuu kwenu
Ukitaka kujua nguvu ya walevi wewe mwaga pombe yao
 
Acha kushangaaa, kuna ndege ilianguka huko nje sasa ktk hiyo ndege kulikuwa na mtu mmoja maarufu kati ya mwanasoka au msanii sikumbuki kilichofuata taarifa ilitangaza ajali ile lkn yule mtu maarufu alitangazwa zaidi na ilifanyika jitihada mpaka mabaki ya mwili wake yakapatikana,
 
Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hice iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi.

Lakini leo wale waandishi 6 ndo wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8 hata hawasemi habari yao.

Media msivutie tuu kwenu
Sisi Wananchi wanatuona kama Vinyama vya Mwitu.
 
Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hice iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi.

Lakini leo wale waandishi 6 ndo wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8 hata hawasemi habari yao.

Media msivutie tuu kwenu
Wamefia kazini
 
Dah ubaguzi wa wazi kabisa huo. Matabaka hayawezi isha kwa staili hii.
Si mlikuwa mnamsifia huyo Nape, bila kujua yuko pale ili alipize kisasi alichofanyiwa kwa kutishiwa bastola na baadae kuvuliwa uwaziri!!! Wanasiasa wabaya sana basi tu watu huwa hamuelewi huwa hawana nia yoyote ya dhati kukusaidia wewe mwenye hali ya chini usiye na mtetezi-lugha na matendio yao ni sawa na mbingu na ardhi
 
Kuna mwingine kumbe Alikuwa Askari.. Akiwa na cover ya uandishi wa habari. Kifo kimemfichua.View attachment 2078126
Mkuu hujui kuna polisi waandishi wa habari na wana vitendea kazi na wamesomeshwa na serikali ?
kuna wapo huko kama wapelelezi na kuna wanao report habari za ndani za jeshi,yani wana record matukio na kuweka kwenye cd na kuwapa askari,pia hawa hu record video za evidence mfano kukiokotwa maiti nk
 
Back
Top Bottom