ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Wajinga sana. Utadhani wao pekee ndo wameumia. Anyway kila mtu apambane n hali yake. Lkn inauma sana wengine hata hawatajwi.Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hice iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi.
Lakini leo wale waandishi 6 ndo wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8 hata hawasemi habari yao.
Media msivutie tuu kwenu
Lkn madhara ya rushwa katika habari yamewavuna. Kama kila mwandishi angekuwa na usafiri wake, yasingetokea