Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna na marubani 2 walipata ajali ya ndege. Yule wa Arusha msiba wake haukuwa kama ule mwingine.Msiba wa Magu uliondoka na watu 50 Lakini hawakutajwa kwa uzito kama yeye
Sema tu Wabongo tumezoea kulalamika hata pasipokuwa na ulazima.Kwahiyo hao wengine wamewekewa utaratibu gani? Tuambiane!
Ingekuwa ni wanajeshi kidogo ningeelewa lakini waandishi wa Habari ni raia tu kama hao wengine 8 waliofariki.
Wako chini ya waziri wao na walikua ziara ya mkuu wa mkoaWameagwa kitaifa/kisekta. Waziri na mkuu wa mkoa wameongoza msiba. Ingekuwa kiofisi tu basi lingekuwa suala la media house zao pekee.
Decency inadai wahanga wengine angalau wangetambuliwa (a proper mention) kwenye msiba huo.
Wana option ya kuzikwa kisekta - na waziri akaendaHao ni waandishi wa vyombo tofauti vya Habari unasemaje wamezikwa kiofisi ndugu.
Halafu kiofisi waagwe public tena na uwepo wa waziri.
Ni jambo la ajabu sanaMbaya zaidi ni uzembe, ubabe na ukiukaji wa sheria barabarani wa hali la serikali lisilokuwapo na hao sita ndiyo lililosababisha vifo na uharibifu wa mali kwa wasiohusika ambao tena wamepuuzwa:
View attachment 2078246
Serikali za namna hii no wonder zimewafikisha kina, Adamoo, Ling'wenya, Lijenje, Ben, Azory, Lissu, wa kwenye viroba nk, huko waliko.
KabisaBinadamu wote SI sawa
Shangaa na wewe hakimuSERIKALI ilopaswa IUBEBE MSIBA WOTE KWA MAREHEMU WOTE na Sio WAANDISHI WA HABARI
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Hii nchi ni ya hovyo kabisaAjali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hiace iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi.
Lakini leo wale waandishi 6 ndio wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8 hata hawasemi habari yao.
Media msivutie tuu kwenu
Hawa ndio wale Bwana Kingai anawaita "Wasiri Wangu"Kuna mwingine kumbe Alikuwa Askari.. Akiwa na cover ya uandishi wa habari. Kifo kimemfichua.View attachment 2078126
Tena ni Detective kabisa.....
Hakuna tusi hapo.Wako chini ya waziri wao na walikua ziara ya mkuu wa mkoa
Tutafute mengine ya kuitukana serikali siyo hii
Acha kutetea vitu vya ajabu, kikubwa ni kukiri kosa kwa kusahau pengine na kusahihisha next time.Wako chini ya waziri wao na walikua ziara ya mkuu wa mkoa
Tutafute mengine ya kuitukana serikali siyo hii
Kwahiyo ulitaka hata wale wa daladala wote wapelekwe uwanjani, waagwe kama watumishi wa sekta kisha waanze kutawanyikaAcha kutetea vitu vya ajabu, kikubwa ni kukiri kosa kwa kusahau pengine na kusahihisha next time.
Hizo ni matabaka ya kipumbavu ipo siku watu wa serikali wanapata majanga halafu raia watashangilia.
Unaogopa gharama kwani pesa za serikali za nani???Kwahiyo ulitaka hata wale wa daladala wote wapelekwe uwanjani, waagwe kama watumishi wa sekta kisha waanze kutawanyika
Gharama hizo analipa nani? Maana wengine ajira zao zinawaka haki za kugharamiwa mazishi
Wewe ni mpumbavu hujui utaratibu wa baadhi ya mambo yanavyokwendaUnaogopa gharama kwani pesa za serikali za nani???
Hiyo gharama ni sh. Ngp unahisi???
Very sad
we nyoko mbona unanitukana?? Wapi nimekutukana wewe au unajiwasha tu.Wewe ni mpumbavu hujui utaratibu wa baadhi ya mambo yanavyokwenda
Busy justifying your point
Kawazike basi wewe tena kusanya wote uwajaze uwanjani
Pretending like you don’t know basics haikupi anything justifiable
Mambaffff
Mie natetea kidogo, walikuwa wanaenda kwenye ziara ya mkuu wa mkoa, inamaana waliitwa na ofisi ya mkuu wa mkoa ndio sababu serikali imegharimia shughuli.Hakika siyo sawa...