Wajinga sana. Utadhani wao pekee ndo wameumia. Anyway kila mtu apambane n hali yake. Lkn inauma sana wengine hata hawatajwi.Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hice iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi.
Lakini leo wale waandishi 6 ndo wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8 hata hawasemi habari yao.
Media msivutie tuu kwenu
Wanazikwa individuallyHawa wengine?
Kwahiyo hao wengine wamewekewa utaratibu gani? Tuambiane!Wala sio ubaguzi ni utaratibu tu mkuu.
Hao ni waandishi wa vyombo tofauti vya Habari unasemaje wamezikwa kiofisi ndugu.Wanazikwa individually
Mbona Iko clear kabisa mkuu
Wao hawahusiki na taratibu za maandalizi ya mazishi ya mwajiri… wao watakua na rights z kuclaim bima nk
Hao waandishi wameagwa kiofisi
Tusilazimishe issues
SERIKALI ilopaswa IUBEBE MSIBA WOTE KWA MAREHEMU WOTE na Sio WAANDISHI WA HABARIAjali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hice iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi.
Lakini leo wale waandishi 6 ndo wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8 hata hawasemi habari yao.
Media msivutie tuu kwenu
SawaAcha kushangaaa ,kuna ndege ilianguka huko nje sasa ktk hiyo ndege kulikuwa na mtu mmoja maarufu kati ya mwanasoka au msanii ckumbuki kilichofuata taarifa ilitangaza ajali ile lkn yule mtu maarufu alitangazwa zaidi na ilifanyika jitihada mpaka mabaki ya mwili wake takapatikana,
Serikali ni watuYawezekana hao 6 ni 'watu wa serikali', ila jamii inawatambua kama waandishi wa habari.
Nape anaingia kwenye mtego huu bila shaka!!!Habari ya msiba tuliambiwa ni zaidi ya watu14!
Lakini ni ajabu na kushangaza taarifa inakava wale wanahabari 6 tu!
Je wale wengine wengine wengi tunamuachia nani kama serikali?
Kuna msaada wowote?
Mfuko wa maafa tunaomba mtoe ufafanuzi!
Msiba wa Magu uliondoka na watu 50 Lakini hawakutajwa kwa uzito kama yeyeHabari ya msiba tuliambiwa ni zaidi ya watu14!
Lakini ni ajabu na kushangaza taarifa inakava wale wanahabari 6 tu!
Je wale wengine wengine wengi tunamuachia nani kama serikali?
Kuna msaada wowote?
Mfuko wa maafa tunaomba mtoe ufafanuzi!
Unataka kusema hao wandishi mwajiri wao ni serikali?Wanazikwa individually
Mbona Iko clear kabisa mkuu
Wao hawahusiki na taratibu za maandalizi ya mazishi ya mwajiri… wao watakua na rights z kuclaim bima nk
Hao waandishi wameagwa kiofisi
Tusilazimishe issues
Kwani polisi nao wameshamuaga wp wao?Dah ubaguzi wa wazi kabisa huo. Matabaka hayawezi isha kwa staili hii.
Kuna mwingine kumbe Alikuwa Askari.. Akiwa na cover ya uandishi wa habari. Kifo kimemfichua.View attachment 2078126
Umenena ukweli mtupu,ukifuatilia chanzo cha ajali ni gari lao lilipasuka tairi likiwa katika mwendo mkali likahamia upande likajipiga kwenye Lori likahamia upande wa pili likakutana na hiece ikiwa kwenye nafasi yake.Hao wa abiria wa kwenye Hiece hata wazir kwenda kuwapoza wafiwa,tv zote na vyombo vya habar Ni kwa waandishi wa habar,wengine mbona hatupati habar zao!?Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hice iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi.
Lakini leo wale waandishi 6 ndo wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8 hata hawasemi habari yao.
Media msivutie tuu kwenu
Habari ya msiba tuliambiwa ni zaidi ya watu14!
Lakini ni ajabu na kushangaza taarifa inakava wale wanahabari 6 tu!
Je wale wengine wengine wengi tunamuachia nani kama serikali?
Kuna msaada wowote?
Mfuko wa maafa tunaomba mtoe ufafanuzi!
Wameagwa kitaifa/kisekta. Waziri na mkuu wa mkoa wameongoza msiba. Ingekuwa kiofisi tu basi lingekuwa suala la media house zao pekee.Wanazikwa individually
Mbona Iko clear kabisa mkuu...