Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

Kuupiga ubalozi nafikiri Iran anaambiwa aje uwanja wa vita.
 
Waarabu na waislamu bhana hamkosi visingizio kila wayahudi wakiwazidi kete.....military base kubwa za USA ni Saudia na Jordan na UAE.....au mzee wa kuswekwa hujui hilo????
Military base kubwa ya kwanza Israel,ya pili misri,tatu Korea kusini..au huoni silaha zinavyopelekwa kwa taifa teule!?..mpaka bunge linafanya sessions za kupeleka silaha, Israel kafeli malengo Gaza kaenda kupiga ubalozi,pure frustration
 
Naaam kipondo kimesha shushwa apo ubalozini na hizo ni Salaaam tu kuelekea Tehran
Kama kawaida Iran mzee wa mipasho na kubwata bwata atakuja na shairi la kukemea na mikwara mizito hakuna la maana atakalo lifanya maana anajua akiji changanya tu imekula kwake mazima
 
Hongera mkuu
Napenda Sana uchambuzi wako
Una uelewa mkubwa Sana wa kijeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…