Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Kuomba ushahidi...afu unakimbilia googleNmepaniki nini mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuomba ushahidi...afu unakimbilia googleNmepaniki nini mkuu
Wanapiga kwenye base ya jengo. Mabomu yana fuse tofauti na mlipuko tofauti kulingana na mahitaji
View: https://twitter.com/clashreport/status/1712086195620954592?t=hvXoDC1M55EerVIPQzbdnA&s=19
Kwani unashindwa kugoogle?Kuomba ushahidi...afu unakimbilia google
Wew si ndio mleta habari.....tupe ulipozitoa....tujue kama ni fake news au real oneKwani unashindwa kugoogle?
Kuupiga ubalozi nafikiri Iran anaambiwa aje uwanja wa vita.Diplomacy ya nini kwa magaidi, Israel haipigi vichochoroni inapiga ubalozini kwa jeuri kubwa kabisa ili usije sema ni bahati mbaya. Hapo haitoomba msamaha wala kudai yaishe, itatoa sababu za kufanya shambulizi hilo.
Iran ni babalao tunaomba ajibu, kisha ajibiwe tena. Au aanzishe vita kabisa ili mzizi wa fitna ukatwe. Sio kila siku mikwara na kutuma magaidi.
Military base kubwa ya kwanza Israel,ya pili misri,tatu Korea kusini..au huoni silaha zinavyopelekwa kwa taifa teule!?..mpaka bunge linafanya sessions za kupeleka silaha, Israel kafeli malengo Gaza kaenda kupiga ubalozi,pure frustrationWaarabu na waislamu bhana hamkosi visingizio kila wayahudi wakiwazidi kete.....military base kubwa za USA ni Saudia na Jordan na UAE.....au mzee wa kuswekwa hujui hilo????
Eeh,pesa nyingiKumbe waarabu wa Iraq ni washirika wa wayahudi wa mosad
Huyu ni Jenerali wa kwanza wa Iran kuuawa? Hao mbwa wasio na meno wameshalipa nini?Iran atalipa tu,huwa hakai na deni
Mbona mwenzio nimemuwekea Hilo toka Jana,pitia commentsHuyu ni Jenerali wa kwanza wa Iran kuuawa? Hao mbwa wasio na meno wameshalipa nini?
mpaka sasa ni masaa mangap yamesha pita bwana Ayatollah?Sasa israeli nae amekosa pa kushambulia mpaka aende ubalozini? Akijibiwa atulie asipige kelele maana muajemi huwa hapitishi saa 24 bila kujibu mapigo
Dah kamfumua marinda hadi domohahahahaha nimecheka kwa sauti kubwa kmmk kumbe mwamba tunae jey efu na hatujui
Myahudi hana shughuli mbovu. Anahakikisha anapiga panapohusikaNikiangalia jengo pembeni ya ubalozi lilikopigwa bomu hata sielewi, ni kama jengo limechimbuliwa kutoka ardhini afu ni hilo tu. Ya pembeni yapo vizuri
Aache kujificha kwenye kichaka cha magaidi. Aingie mzima mzima tujue mbivu na mbichiKuupiga ubalozi nafikiri Iran anaambiwa aje uwanja wa vita.
Wanapiga kwenye base ya jengo. Mabomu yana fuse tofauti na mlipuko tofauti kulingana na mahitaji
View: https://twitter.com/clashreport/status/1712086195620954592?t=hvXoDC1M55EerVIPQzbdnA&s=19
Hongera mkuuIsrael haipendi kutumia cruise missiles sababu ina air dominance hapo Syria, hakuna air defense system ya kuzuia Israel isirushe ndege zake. Hata hao makamanda wa Iran wanajua kabisa Israel hufanya mashambulizi ya anga na lazima walichukua tahadhari kama kuiambia Syria iongeze nguvu kwenye ulinzi wa anga pamoja na kwamba walikuja kwa siri.
Hapa Israel haikuwa na haja kutumia JDAM kits za Marekani, Israel wenyewe wanazo smart munitions za kutegemewa zaidi kuliko kutegemea MK bombs za zamani za Marekani zilizofungwa kits.
Probably Israel watakuwa walitumia fighter jets za kawaida ila zenye guided bombs hasa SPICE family kutoka Rafael Defense. Mfano bomu la Spice 250 ER linaenda mpaka kilomita 100 na linaweza piga shabaha ndani ya mita 3 zilizohitajika, ukilenga sebule ukakosakosa utapata dinning room ni yaleyale tu sababu bomu lina blast radius kubwa nyumba nzima itabomokaView attachment 2951163View attachment 2951164View attachment 2951165
Hata hivyo Israel inayo option ya kupiga Damascus ikiwa ndani ya mipaka yake ila haifanyi hivyo ili kuwa more accurate na kuepuka collateral damage. Na hakuna ulazima sababu Syria haina uwezo kuzuia shambulizi la Israel. Na ikibidi sana, F-35 stealth fighters zitatumika kuingia anga la Syria bila bugudha.
Sura la kigaidi kabisaaa!Wanalia tu mida hii... Faiza foxy anatenda msiba wa kamanda... kalale pema peponi kamanda onyo kwa waliobakiaView attachment 2951073View attachment 2951072
Magaidi ni hopeless kabisaIntelijensia ya waizraeli ni kubwa Sana. Sasa wanajifungia ubalozini wanarusha mabomu wanafikiri hawaonekani?
Ushasahau anavyolipa kupitia mashambuli Kaskazini mwa Israel kupitia Hizbollah??Aliwahi kulipa lini?