Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Kuchafua taswira ya Raia number moja ni minor issue? Main Stream Media inaokota udaku wa mkuu wa nchi kisha wanachapisha?
Hata kina Hitler, Iddd Amin walikua wakuu wa nchi mkuu..... Ukuu wa nchi uaikutie upofu ukasahau kua na wao ni binadamu wa kawaida kabisa wanazaliwa na kufa
 
Hata kina Hitler, Iddd Amin walikua wakuu wa nchi mkuu..... Ukuu wa nchi uaikutie upofu ukasahau kua na wao ni binadamu wa kawaida kabisa wanazaliwa na kufa
Upo sahihi mkuu. Viongozi hawatoki mbinguni bali ni hawa hawa binadamu wanaoishi miongoni mwetu. Lakini tusiwadhalilishe.
 
Mkuu, masuala ya sheria za Kenya na udhalilishaji wa viongozi wetu hauna uhusiano kabisa. Ni lazima tuwe wakali linapokuwa suala zima la kulinda heshima yetu kama taifa. This is nonsense.
Heshima ipi?Ni hisia zako ziko sensitive ila sioni news hapo.Hta udaku uwe regulated?
 
Kwani hata Kama katembea nae Kuna shida gani?!
Mbona safi tuu.
KANU exacutive member, lawyer! Mwanasiasa mwenzie!

Mlitaka atembee na Nani ili iwe sawa?

Mwanaume ambaye hajawahi chepuka ndo awe wakwanza kunirushia niwe.
 
Jamaa a nafikiri Kenya wako level moja na TZ yetu kwenye uhuru wa Habari...!!
 
Kwani hata Kama katembea nae Kuna shida gani?!
Mbona safi tuu.
KANU exacutive member, lawyer! Mwanasiasa mwenzie!

Mlitaka atembee na Nani ili iwe sawa?

Mwanaume ambaye hajawahi chepuka ndo awe wakwanza kunirushia niwe.
Rais Magufuli alikuwa hana kabisa tabia mbaya kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…