Rose Gabriella
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 603
- 583
Kuchafuana kisiasa sio jambo jema hata kidogo mkuuKama hakuna ushahidi ni lazima tu atakuwa mkali kwa maana jina lake linachafuliwa bila sababu za msingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchafuana kisiasa sio jambo jema hata kidogo mkuuKama hakuna ushahidi ni lazima tu atakuwa mkali kwa maana jina lake linachafuliwa bila sababu za msingi.
Matunda pori machafuMti wenye matunda
Hata kina Hitler, Iddd Amin walikua wakuu wa nchi mkuu..... Ukuu wa nchi uaikutie upofu ukasahau kua na wao ni binadamu wa kawaida kabisa wanazaliwa na kufaKuchafua taswira ya Raia number moja ni minor issue? Main Stream Media inaokota udaku wa mkuu wa nchi kisha wanachapisha?
Matunda yenyewe ni haya haya ya uuwaji na utekaji?Mti wenye matunda
Upo sahihi mkuu. Viongozi hawatoki mbinguni bali ni hawa hawa binadamu wanaoishi miongoni mwetu. Lakini tusiwadhalilishe.Hata kina Hitler, Iddd Amin walikua wakuu wa nchi mkuu..... Ukuu wa nchi uaikutie upofu ukasahau kua na wao ni binadamu wa kawaida kabisa wanazaliwa na kufa
Heshima ipi?Ni hisia zako ziko sensitive ila sioni news hapo.Hta udaku uwe regulated?Mkuu, masuala ya sheria za Kenya na udhalilishaji wa viongozi wetu hauna uhusiano kabisa. Ni lazima tuwe wakali linapokuwa suala zima la kulinda heshima yetu kama taifa. This is nonsense.
Unakumbuka suala la Ze Utamu wakati wa uongozi wa mzee Kikwete?Heshima ipi?Ni hisia zako ziko sensitive ila sioni news hapo.Hta udaku uwe regulated?
Nipe taarifa,bvinafsi naambi udaku uachwe kuwa ni udaku ili uwachangamshe wenye akili fupiUnakumbuka suala la Ze Utamu wakati wa uongozi wa mzee Kikwete?
Jamaa a nafikiri Kenya wako level moja na TZ yetu kwenye uhuru wa Habari...!!1. Mambo ya kidiplomasia hususan kwa nchi rafiki huwa hayafanywi kwenye vyombo vya habari, inawezekana ubalozi umeshafikisha malalamiko kwenye sehemu husika na wameshayazungumza.
2. Kumbuka kenya wana moja ya katiba bora duniani..ina mapungufu yake lakini ni katiba nzuri sana. Kenya vyombo vya habari vinalindwa na katiba na vina uhuru sana..waziri wa habari hawezi akaamka tu asubuhi akafungia chombo cha habari. Kuna tume ya vyombo vya habari ambayo haihusiani na serikali ambayo yenyewe ndio ina shughulikia mambo ya kinidhamu kwenye media. So usifikiri ubalozi unaweza ukalalamika kwenye serikali ya kenya na serikali ikakifungia chombo cha habari.
Unaona sasa. Kumbe bado dogo. Ze Utamu ilikuwa ni website ya kudhalilisha viongozi waandamizi wa serikali ya Tanzania. Fungua JF link hapo chini usome.Nipe taarifa,bvinafsi naambi udaku uachwe kuwa ni udaku ili uwachangamshe wenye akili fupi
TCRA wafungie hiyo website hatutaki uhuru wa kipuuzi sisiJamaa a nafikiri Kenya wako level moja na TZ yetu kwenye uhuru wa Habari...!!
Rais Magufuli alikuwa hana kabisa tabia mbaya kama hiiKwani hata Kama katembea nae Kuna shida gani?!
Mbona safi tuu.
KANU exacutive member, lawyer! Mwanasiasa mwenzie!
Mlitaka atembee na Nani ili iwe sawa?
Mwanaume ambaye hajawahi chepuka ndo awe wakwanza kunirushia niwe.
Nimeuliza wakiume, we wakike nilijua utajibu kwa bias.Rais Magufuli alikuwa hana kabisa tabia mbaya kama hii
Kwani hao wa kiume wanachepukaga na nani kama sio na sisi wa kike?Nimeuliza wakiume, we wakike nilijua utajibu kwa bias.
Mh?!! Tuishie hapa Madame.Kwani hao wa kiume wanachepukaga na nani kama sio na sisi wa kike?
Umeanzisha mwenyewe varangati sasa hivi unaomba poo. Wee wa wapi wewe?Mh?!! Tuishie hapa Madame.
Hapa hakuna swala la varangati, ni suala la level ya IQ.Umeanzisha mwenyewe varangati sasa hivi unaomba poo. Wee wa wapi wewe?
PoaHapa hakuna swala la varangati, ni suala la level ya IQ.
Mama naomba tuishie hapa.