Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Kuchafua taswira ya Raia number moja ni minor issue? Main Stream Media inaokota udaku wa mkuu wa nchi kisha wanachapisha?
Hata kina Hitler, Iddd Amin walikua wakuu wa nchi mkuu..... Ukuu wa nchi uaikutie upofu ukasahau kua na wao ni binadamu wa kawaida kabisa wanazaliwa na kufa
 
Hata kina Hitler, Iddd Amin walikua wakuu wa nchi mkuu..... Ukuu wa nchi uaikutie upofu ukasahau kua na wao ni binadamu wa kawaida kabisa wanazaliwa na kufa
Upo sahihi mkuu. Viongozi hawatoki mbinguni bali ni hawa hawa binadamu wanaoishi miongoni mwetu. Lakini tusiwadhalilishe.
 
Mkuu, masuala ya sheria za Kenya na udhalilishaji wa viongozi wetu hauna uhusiano kabisa. Ni lazima tuwe wakali linapokuwa suala zima la kulinda heshima yetu kama taifa. This is nonsense.
Heshima ipi?Ni hisia zako ziko sensitive ila sioni news hapo.Hta udaku uwe regulated?
 
Kwani hata Kama katembea nae Kuna shida gani?!
Mbona safi tuu.
KANU exacutive member, lawyer! Mwanasiasa mwenzie!

Mlitaka atembee na Nani ili iwe sawa?

Mwanaume ambaye hajawahi chepuka ndo awe wakwanza kunirushia niwe.
 
1. Mambo ya kidiplomasia hususan kwa nchi rafiki huwa hayafanywi kwenye vyombo vya habari, inawezekana ubalozi umeshafikisha malalamiko kwenye sehemu husika na wameshayazungumza.

2. Kumbuka kenya wana moja ya katiba bora duniani..ina mapungufu yake lakini ni katiba nzuri sana. Kenya vyombo vya habari vinalindwa na katiba na vina uhuru sana..waziri wa habari hawezi akaamka tu asubuhi akafungia chombo cha habari. Kuna tume ya vyombo vya habari ambayo haihusiani na serikali ambayo yenyewe ndio ina shughulikia mambo ya kinidhamu kwenye media. So usifikiri ubalozi unaweza ukalalamika kwenye serikali ya kenya na serikali ikakifungia chombo cha habari.
Jamaa a nafikiri Kenya wako level moja na TZ yetu kwenye uhuru wa Habari...!!
 
Kwani hata Kama katembea nae Kuna shida gani?!
Mbona safi tuu.
KANU exacutive member, lawyer! Mwanasiasa mwenzie!

Mlitaka atembee na Nani ili iwe sawa?

Mwanaume ambaye hajawahi chepuka ndo awe wakwanza kunirushia niwe.
Rais Magufuli alikuwa hana kabisa tabia mbaya kama hii
 
Back
Top Bottom