Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujasemaKatiba mpya haiandikwi na Chadema , Katiba mpya inaandikwa kwa kuzingatia maoni ya wananchi yanayoendana na wakati uliopo sasa . Katiba ya 1977 imepitwa na wakati . Hata wananchi wanawaunga mkono Chadema na ajenda ya katiba mpya .
Harafu Kuna nyumbu wanaandamana 😂😂😂😂Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha.
Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa.
Chichi dodo
Katiba haibadilishwi kwa sababu tu ni ya mwaka 1977. Mbona Quran haipitwi na wakati?Katiba mpya haiandikwi na Chadema , Katiba mpya inaandikwa kwa kuzingatia maoni ya wananchi yanayoendana na wakati uliopo sasa . Katiba ya 1977 imepitwa na wakati . Hata wananchi wanawaunga mkono Chadema na ajenda ya katiba mpya .
Tuhuma hizi kwa chadema ni nzito sana,ndio maana kila siku nawaambia humu kuwa ni waongo sana,bora lissu kawaumbua,na hapo Mbowe anajua rushwa ipo ila sababu yeye ndio dili zake,Lissu kamlipua.Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha.
Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa.
Chichi dodo
Lissu ni shujaa,kawapiga nyundo ya kichwa mafisadi ya Chadema chini ya Sultan Mbowe na yamepoteana kabisa.Hili halitoki kwa wana CCM bali kwa makamu mwenyekiti wa CDM ndugu Lisu
Maelezo hayajajitosheleza.Hili halitoki kwa wana CCM bali kwa makamu mwenyekiti wa CDM ndugu Lisu
Leo naona chawa wote wameibuka kutoka mashimoni kunanini,ama mwamba kawapuliza dawa ya kuwaangamizeni🤪Hili halitoki kwa wana CCM bali kwa makamu mwenyekiti wa CDM ndugu Lisu
Mbona sasa wanaohangaiki ni chawa😄Lissu ni shujaa,kawapiga nyundo ya kichwa mafisadi ya Chadema chini ya Sultan Mbowe na yamepoteana kabisa.
Kabisa haaminiki hata sekunde!Hili halitoki kwa wana CCM bali kwa makamu mwenyekiti wa CDM ndugu Lisu
Tundu Lissu aliuza Lokiondo Gate kwa Waarabu.Hili halitoki kwa wana CCM bali kwa makamu mwenyekiti wa CDM ndugu Lisu