Pre GE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

Pre GE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni dhahiri sasa waliotaka kutoa uhai wa Lissu ni WanaChadema wenzake!
 
Tuhuma hizi kwa chadema ni nzito sana,ndio maana kila siku nawaambia humu kuwa ni waongo sana,bora lissu kawaumbua,na hapo Mbowe anajua rushwa ipo ila sababu yeye ndio dili zake,Lissu kamlipua.
Kweli kabisa, Kizizi yupo?
 
Sometimes nawaza kuwa huyu Bwana mdogo was affected by more medicines.

Uko humu humu unatukana humo humo.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
ngorongoro na loliondo ccm wamempa mwarabu na amewajengea na kuwafafhiri jwtz majengo Arusha hii unaifamu mkuu jingalao
 
CHADEMA iliuzwa mwaka 2015, kinachoendelea kwa sasa ni marejesho tu.
 
Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha.

Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa.

Chichi dodo
Ccm angalau mmepata hoja na ahueni

Chadema wanajua kudeal na hizi issue ndogondogo tuwape muda

Kama walimfukuza halima mdee na wahuni wenzake 18,

Hawashindwi kitu

WalimfukuzA zito, kabourou, slaa, bananga, , na bado wako fit
 
Halima anarudi chadema, chiba hataamini macho yake, chiba anatukana mamba hajavuka mto? Alikuwa hoi kaoga risasi, watu wakamsaidia leo anawatukana?
 
Back
Top Bottom