CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
Chawa wa chadema sio?Mbona sasa wanaohangaiki ni chawa😄
CDM imeambukizwa kuuza sasa ...hilo ndio la ziadaTundu Lissu aliuza Lokiondo Gate kwa Waarabu.
CHADEMA imeuza Ngorongoro Conservation Area
MBOWE kauza bandari.
Haya una la ziada?
Imeuza nini?CDM imeambukizwa kuuza sasa ...hilo ndio la ziada
Imeuza Chama ha ha haImeuza nini?
Angalau Chadema kuna uthubutu wa kusema, unakumbuka yaliyomkuta Ndugai?Hili halitoki kwa wana CCM bali kwa makamu mwenyekiti wa CDM ndugu Lisu
Kama propaganda nyingine tu
Yupo.Kweli kabisa, Kizizi yupo?
Ccm waliuza migodi yote na juzi waliuza bandari hii unaisemeaje jingalaoHili halitoki kwa wana CCM bali kwa makamu mwenyekiti wa CDM ndugu Lisu
akati yeye mwenyewe ni puppet wa mabwenyenye wa magharibiHili halitoki kwa wana CCM bali kwa makamu mwenyekiti wa CDM ndugu Lisu
Mamndenyi nakupongeza sana kwa kiingereza chako cha juhudi binafsi.Sometimes nawaza kuwa huyu Bwana mdogo was affected by more medicines.
Uko humu humu unatukana humo humo.
Ccm angalau mmepata hoja na ahueniNadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha.
Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa.
Chichi dodo
Halima anarudi chadema, chiba hataamini macho yake, chiba anatukana mamba hajavuka mto? Alikuwa hoi kaoga risasi, watu wakamsaidia leo anawatukana?Ccm angalau mmepata hoja na ahueni
Chadema wanajua kudeal na hizi issue ndogondogo tuwape muda
Kama walimfukuza halima mdee na wahuni wenzake 18,
Hawashindwi kitu
WalimfukuzA zito, kabourou, slaa, bananga, , na bado wako fit