Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Hivi Uganda walishindwa kumpata mtu mzuri wa kugombea urais mpaka wamuweke Bobi wine. Anaonekana kabisa ni mvuta ganja. Ndio ubaya wa demokrasia huo
 
Hivi Uganda walishindwa kumpata mtu mzuri wa kugombea urais mpaka wamuweke Bobi wine. Anaonekana kabisa ni mvuta ganja. Ndio ubaya wa demokrasia huo
Ungekuwa unafuatilia siasa usinge komenti hicho ulichoandika but kwa kukusaidia...


Hawa ndiyo wagombea wa urais nchini Uganda wanaowania kiti cha urais👇.​


1.PATRICK OBOI AMURIAT
Forum for Democratic Change (FDC)

2.JOSEPH KIIZA KABULETA
Mgombea binafsi

3. NANCY LINDA KALEMBE
Mgombea binafsi (Female)

4. JOHN KATUMBA
Mgombea binafsi

5. NORBERT MAO
Democratic Party (DP)

6. WILLY MAYAMBALA
Mgombea binafsi

7. MUGISHA GREGORY MUNTU
Alliance For National Transformation (ANT)

8. YOWERI KAGUTA TUBUHABURWA MUSEVENI
National Resistance Movement (NRM)

9. FRED MWESIGYE
Mgombea binafsi

10. ROBERT KYAGULANYI SSENTAMU
National Unity Platform (NUP)

11. HENRY TUMUKUNDE
Mgombea binafsi
 
Reactions: PNC
Waganda wengi wanaojielewa wanampenda museveni ukiondoa wachache tu wanywa chang'aa ambao kwa kiasi kikubwa wanafanana na wale waliokuwa wanamdekia barabara mamvi mwaka 2015.
 
Hivi Uganda walishindwa kumpata mtu mzuri wa kugombea urais mpaka wamuweke Bobi wine. Anaonekana kabisa ni mvuta ganja. Ndio ubaya wa demokrasia huo
Umaarufu wake kujiamini kwake mbele ya M7 ni jambo adimu kwa wasomi .
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Tabia za waliopo madarakani Afrika za kugandamiza demokrasia na kuonea raia inaogopesha watu wengi kujiunga upinzani , wananchi wakichoka watachagua yeyote kwa kuwa haoni faida ya waliowatawala kwa muda mrefu.watu Kama Bob wine ni SAHIHI kupambana na dikteta usiwalaumu wananchi laumu wanaosababisha wengi wasishiriki siasa za ushindani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nyie tulieni hio you turn mtakayoiona mtashangaa wenyewe
 
Hivi Uganda walishindwa kumpata mtu mzuri wa kugombea urais mpaka wamuweke Bobi wine. Anaonekana kabisa ni mvuta ganja. Ndio ubaya wa demokrasia huo
Sipo upande wa Mseveni c'se he is too old to run the show...ila Watu wanaomshabikia Bob wine in short hawajielewi au wapo obsessed Sana na democracy , demokrasia sio ya kuichukulia Tu yote kama ilivyo ,mtajikuta mnatengeneza tatizo kubwa Zaid , wazungu demokrasia Yao huwa wanaiedit Kwanza kabla ya kuirusha on-air .... Huwez kumpa nchi mtu kama Bob wine hakuna kitu pale .... Mzungu huwa anahakikisha wagombea wote ni presidentially material , bado baada ya Kura kuna cabinet inakaa Kwa ajil ya kumtathmin aliyeshinda Kwa kina , kama ni miyeyusho cabinet inapindua matokeo Kwa mstakabali Mpana wa nchi .... Sisi huku hamna , ni ushabiki Tu na chuki za kikanda na kikabila mtu hata wa hovyo Tu anapewa majukumu mhimu ...mwisho wa yote anabak kupuyanga na matokeo yake vita vya wenyewe Kwa wenyewe nchi inakuwa full riots ....
 
Hiyo ni strategy ya kutuliza munkari wa wananchi! Ngoma bado!
 
Unaamini huyu mnyoa kiduku naweza kushinda urais
Kwanza hujui lolote kuhusu H.E Robart Kyagulanyi Ssentamu, hata mziki anaofanya kausomea ndo maana alikuwa anapata project's na WHO kwenye issue za kuokoa maisha ya Mama na Mtoto Kwahiyo jamaa yupo smart kwenye medulla.

Pili siasa nayo kaisomea ndo maana ameweza ku-win game na mtu ambae ni recruited as a soldier tena na kijana wake ni kiongozi Pale Special force lakini WINE anawapigisha kwata.

Tatu kaa ukijua tofauti ya Bobi na M7 ni kubwa mno maana mmoja anatumia mbinu ya vita na hesabu mwingine Siasa na Falsafa.
 
No way utapimwa KWANZA wewe, kwanini mnakua na fikra za kizee,m7 anabuluzwa Sana,na uganda wametuzid
Kama Rafiki yake tuliyenae hapa Tanzania Kashinda kwa Mbibu za Kininja ( Kimafia ) unadhani hajammegea Maujanja yote ya Ushindi wa Uganda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…