Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Yule hana uzoefu wa siasa. Kuna vitu angekuwa amejifunza kama angekuwa step by step kwenye ngazi za kisiasa. Anahisi kuendesha nchi ni kama kampuni
Vitu gani hebu weka hapa, siyo kuandika jumla jumla. Vipo kwenye katiba ya Uganda upande wa sifa za mgombea?
 
UVCCM wakishewekewa bando pale Lumumba huwa wanakabidhi akili kwa Bashiru Ally.....
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Museven kabla ya kuwa rahis alikua nani.?
 
Uganda, tofauti na vilaza wa Tanzania pamoja na M7 mwenyewe, ina wasomi wengi wenye PhD za Vyuo vinavyojulikana duniani ndo wanapiga kura leo kuchagua Rais na Wabunge. Wakati wa Kampeni za Uchaguzi za Uganda, mgombea Urais alikuja Tz kujifunza namna ya kuiba kura toka kwa wabobezi wenye PhD za jalalani lakini inaonekana mafunzo hayakusaidia maana anagaragazwa vibaya. Marais wengi walichaguliwa wakiwa Wasanii na kuongoza nchi zao vizuri sana, mmojawapo akiwa Reagan aliyemshinda Rais Jimmy Carter aliyekuwa madarakani kwa muhula mmoja tu kama Trump. Baraza la Mawaziri linateuliwa na mshindi wa Urais siyo na Bunge!
 
Si useme tu ni rais John Pombe Josephat Magufuli. Unaogopa nini na wewe ni Mwanaume?!
 
Yaan mm furaha yangu sio Bobi kuwa Rais ila furaha niliyo nayo ni M7 amegundua kuwa watu wamemchoka hivyo hata akitawala kwa Nguvu fresh tu ila ukweli anao na Dunia inajua
 
Mhhh, mbona Trump hana sifa hizo ?
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
 
Sipo upande wa Mseveni c'se he is too old to run the show...ila Watu wanaomshabikia Bob wine in short hawajielewi au wapo obsessed Sana na democracy...

Trump unaona alikua ni presidential material?Au walisahau kui edit demokrasia yao.?
 
Mhhh, mbona Trump hana sifa hizo ?

Trump unaona alikua ni presidential material?Au walisahau kui edit demokrasia yao.?
Wakat Trump anaingia madarakan nan alimuona kuwa hafai?? Yeye ndo kaharibu mhula wake wa Kwanza ...... Na istoshe hata yeye anajua kuwa ametolewa Kwa nguvu Kwa mstakabali Mpana wa Taifa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…