Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Una mawazo finyu sana, huyo unayemuita msanii nimeona interviews zake ana uwezo mkubwa sana...
Sawa , ni mwehu Tu anayeweza chagua raisi Kwa kuangalia interview out of his previous perfomance ...
 
Sasa subirini kura za mwisho utasikia Museveni ameshinda kwa 70% na hao wengine zilizobaki.
 
Hakutoka kwenye Usanii na kuja kuwa Rais, alipita njia iliyo mtayarisha pamoja na kuwa Gavana wa Jimbo tajiri sana Califórnia kwa vipindi viwili kabla ya kuwa Rais wa nchi ya Marekani.
Hawa jamaa wanafikria Marekan huwa wanakurupuka tuu.....
 
Kuna watu wanasema huyu mvuta bangi sijui ila inaweza kuwa kweli lakini ukiona kihalali mvuta bangi kakushinda lakini umeiba tu kura na kubaki basi nafsi yako itakusuta kila siku maana ni wazi watu hawakutaki wamekuchoka. Hapa ni wazi waganda wamemchoka mzee hata akiiba kura na akabaki ila atapoteza kitu kikubwa kwa watu hasa akijuwa ndani ya nafsi yake kuwa mvuta bangi kanishinda lakini sisi waafrica huwa hatuna aibu.
 
Ata mimi naamini Trump hakushindwa uchaguzi ila kuna mpango kabambe ulishasukwa kumuondoa na sembuse kule USA hawana tume ya uchaguzi ya kitaifa ndiyo kabisa
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Uongozi Ni karama.... ofcorse usanii wake sio issues.....

Japo 100% sijawai mkubali bashite Ila Kuna Mambo katika utendaji wake nilikua nayakubali sanaa....

Mm napenda aina ya watu Kama JPM, bashite, Dorothy Gwajima Ni aina fulani ivi ya watu ambao Wana amsha amsha......

Kwa Maoni yangu bob wine akifanikiwa kua Rais wa UG......

Kikubwa Ni kuji surbodinate na watu royal & smart
Kukubali kukosolewa na Kua flexible na msikivu.........The rest is History.
 
Mpaka asubuhi kati ya majimbo 12 yaliyotangazwa NUP wana 10 na M7 ana 2
 
Nikweli waganda wanahitaji mabadiliko ila kwa wagombea wote sioni presidential material hata mmoja,labda wanazidiana umaarufu tu.......M7 ataendelea kuwepo sana tu hapo Nakasero
 
Nikweli waganda wanahitaji mabadiliko ila kwa wagombea wote sioni presidential material hata mmoja,labda wanazidiana umaarufu tu.......M7 ataendelea kuwepo sana tu hapo Nakasero
Jitu miaka 35 limekomaa na bado linataka liendelee kuongoza, sasa hao presidential material wanapikwa wapi? Hata yeye wakati anaingia hakuwa presidential material!

Museven ameivuruga sana Uganda!Angeweza kuweka katiba nzuri na kustaafu kwa amani,huko mbele nani atatoka madarakani?
 
Reactions: PNC
Museven hata apate kura 0 ,hang'atuki huyo we utaona huyo mpaka afe au wananchi wafanye maandamano yasiyo na kikomo.
 
Nikweli waganda wanahitaji mabadiliko ila kwa wagombea wote sioni presidential material hata mmoja,labda wanazidiana umaarufu tu.......M7 ataendelea kuwepo sana tu hapo Nakasero
Hebu taja hizo sifa za presidential material na unitajie maraisi duniani wenye hizo sifa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…