Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Tatizo sio utawala wa kidemokrasia, itaishia kuwa kura za makaratasi na sio uhalisia.
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Hapo kweli, hii ni changamoto kubwa sana kwa hawa ndugu zetu. Sijajua wazee wao wanalichukuliaje hili.
 
Mbale
I.U.I.U
Bobi Wine- 108
M7- 71

Elgon cell
Bobi Wine- 141
M7- 81

Bunambwa cell
Bobi Wine- 346
M7- 200
#UgandaDecides2021 #TimesUgandaNews #UGDecides2021
 
Fake results kwanza hakuna mgombea anayejulikana kwa jina la Bobi.
Itakuwa unafuatilia kinachojili huko Uganda hebu tupe ukweli unaoujua wewe,
"No research no right to speak"
 
humu wote mnafikiria bobi wine atashinda? anahitaji muda wa kujijenga kisiasa zaidi.. kuna mtu alipambana sana kumtoa mwamba ila haikuwezekana iwe rahisi kwa huyu? mna mkumbuka Kizza bisigye huyu alipambana sana na upinzani! Urais ni tofauti na umaarufu wa mziki
 
Wapi Anti Pasi?
 
Katika hali isiyotegemewa na wengi hasa kwa kuzingatia tume zetu za uchaguzi zisizo na uhuru, huko Uganda katika matokeo ya awali Museven amepitwa kwa kura nyingi sana na Bobi Wine.
49043283.jpg
649018480.jpg
649064554.jpg
 
Back
Top Bottom