Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Sipo upande wa Mseveni c'se he is too old to run the show...ila Watu wanaomshabikia Bob wine in short hawajielewi au wapo obsessed Sana na democracy , demokrasia sio ya kuichukulia Tu yote kama ilivyo ,mtajikuta mnatengeneza tatizo kubwa Zaid , wazungu demokrasia Yao huwa wanaiedit Kwanza kabla ya kuirusha on-air .... Huwez kumpa nchi mtu kama Bob wine hakuna kitu pale .... Mzungu huwa anahakikisha wagombea wote ni presidentially material , bado baada ya Kura kuna cabinet inakaa Kwa ajil ya kumtathmin aliyeshinda Kwa kina , kama ni miyeyusho cabinet inapindua matokeo Kwa mstakabali Mpana wa nchi .... Sisi huku hamna , ni ushabiki Tu na chuki za kikanda na kikabila mtu hata wa hovyo Tu anapewa majukumu mhimu ...mwisho wa yote anabak kupuyanga na matokeo yake vita vya wenyewe Kwa wenyewe nchi inakuwa full riots ....
Mawazo mgando kuwatukuza wazungu na kuwapa sifa ambazo hawana Trump hafai hata kuwa mkuu wa mkoa nchi hii kama nchi yetu ingekuwa smart kidogo tu lakini kawa rais marekani
Pia fuatilia mijadala ya Bobi alafu uje tena kuongea
unaangalia sura ya mtu alafu unakuja kumjugde negative
 
Kama Rafiki yake tuliyenae hapa Tanzania Kashinda kwa Mbibu za Kininja ( Kimafia ) unadhani hajammegea Maujanja yote ya Ushindi wa Uganda?
Magufuli alishakata tamaa kabisa waliomuokoa ni hao wapambe wake usalama
Sasa huwezi jua upande wa Uganda mambo yakoje
 
Naona ndugu zetu wa Belgium wanajitekenya wenyewe afu wanacheka

Nimeweka hapa hii channel yao Bukedde TV Museven anaongoza kwa kuwa na kura 1.8M = 63.8%, Bob ana 800+K = 28.8%
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Presidential material my foot , kama mwehu Trump , Acha ujinga kila mtu ana Haki ya kutombwa kikatiba sio ufalme huo
 
Afrika tunajijua wenyewe mseveni hawezi kumuachia Robert
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Ronald Reagan mwenyewe alikuwa muigizaji wtf are you talking about look at Donald Trump
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
 
Attachments

  • IMG-20210115-WA0031.jpg
    IMG-20210115-WA0031.jpg
    36.9 KB · Views: 1
  • IMG-20210115-WA0009.jpg
    IMG-20210115-WA0009.jpg
    56.1 KB · Views: 1
  • IMG-20210115-WA0007.jpg
    IMG-20210115-WA0007.jpg
    33.3 KB · Views: 1
Ronald Reagan mwenyewe alikuwa muigizaji wtf are you talking about look at Donald Trump
Fatilia Kwanza background leadership ya Donald Reagan , alafu fatilia na ya Bob wine kisha urudi hapa ,... Unapotaka kumuiga Mzungu kaa chini Kwanza umfatilie kafanyeje sio unakrupuka tuu
 
Presidential material my foot , kama mwehu Trump , Acha ujinga kila mtu ana Haki ya kutombwa kikatiba sio ufalme huo
Hv kwa akili yako na majibu yako haya na wewe sku moja Una ndoto za kuwa Raisi kisa Una haki kikatiba ?? Ni mwehu Tu anayeweza kukuchagua , na hata kama ukichaguliwa ni mamlaka za hovyo Tu zinazoweza kudhibitisha huo ushindi
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...

Aliyekuwa rais wa marekani Ronald Regan alikuwa msaanii wa filamu.
 
Mr Museveni, 76, has garnered 1.5 million votes (65%) while opposition front-runner and NUP presidential candidate, Bobi Wine had 647,146 votes (27.39%), according to Electoral Commission’s (EC) second batch of provisional results.

2021 Presidential election provisional results from 8,310 polling stations

Presidential Candidate

Party

Tally

Percentage (%)

Amuriat Oboi Patrick

Forum for Democratic Change (FDC)

84,969

3.60%

Kabuleta Kiiza Joseph

Independent

15,403

0.65%

Kalembe Nancy Linda

Independent

12,081

0.51%

Katumba John

Independent

8,886

0.38%

Kyagulanyi S Robert aka Bobi Wine

National Unity Platform (NUP)

647,146

27.39%

Nobert Mao

Democratic Party (DP)

15,315

0.65%

Mayambala Willy

Independent

5,135

0.22%

Mugisha Muntu G

Alliance for National Transformation (ANT)

16, 673

0.71%

Mwesigye Fred

Independent

7,160

0.30%

Tumukunde Henry K

Independent

13,813 0.58%

Museveni T Kaguta

National Resistance Movement (NRM)

1,536,205 65.02%
 
Mu7 nae bado ajaiva,mpaka sasa mwamuziki ajakimbilia ubalozini tu?
 
Back
Top Bottom