Hata kwa mfumo huo wa Marekani, si majimbo yote yanalingana kwa weight. Kuna majimbo ukishinda unapata kura 16, mengine kura 3 nkKwa nini tusifanye kama Marekani? Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo.. Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu... Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..
Thanks mkuu...Hata kwa mfumo huo wa Marekani, si majimbo yote yanalingana kwa weight. Kuna majimbo ukishinda unapata kura 16, mengine kura 3 nk
View attachment 2256047
Ndugu nikufikirishe kidogo, unaweza kuwa sawa, ya kuwa Rais hatokani na sanduku la kura.Kwani rais anatokana na box la kura? Acha upotoshaji usio na tija yoyote.
Soma matador 15 :24 yesu alitumwa kwa wana Israel tu, sasa wewe mkonde unag'ngania yesu wa nini? Acheni kujipendekeza nyie wamakondeYesu Kristo ni wa wote mkuu. Alikuja kutafuta na kuwaokoa wote waliopotea. Yesu ndiye NJIA , KWELI na UZIMA. Mtu hafiki mbinguni ila kupitia Yeye. YOHANA 14:6.
JESUS IS LORD
MkuuBt FDR wa tumia AKILI anatoka pwani. Ni tofauti na nimuonaye mm, tusubiri. Amen.
Nikumbushe nani alipandisha majina ya wale vijana wawili? Naamini Si tumia AKILI, Yeye alioweka code.Mkuu
Wa Tumia akili ni Kati ya yale majina mawili yaliyopandishwa jukwaani!!?
Mmoja wa mkuranga na yule wa pangani Tanga!!?
Au ni Mpya yule aliepo visiwani!!?
Huyo wako atakuwa chaguo la Mama coz anamuombea Sana kwenye mikutano take anayofanya tena KWA Kasi Sana nchini hivi sasa!!
Ngoja tuone
Una uhakika na majibu yako? Chimba ujue sababu halisi zinazowafanya wanasiasa waiogope Kanda ya ziwa. Zipo sababu sio huo ugoro uliosema.Hakuna kitu kama hicho, ni porojo za wanasiasa tu. Idadi ya watu kanda ya ziwa haifiki robo ya watanzania wote.
Kanda ya ziwa inatumika kwasababu huko ndio washamba wamejazana.
Uongo wa mchana wewe hauko kanda ya ziwa, kanda ya ziwa ni eneo la machimbo ya dhahabu na almasi, wachimbaji walikuwa wanafukuzwa kama sio watanzania, walikuwa hawajui pa kuuza dhahabu wanapoipata, ilikuwa dhuruma, kuja kwa masoko kila mmoja anauza kwa muda wake, MADIGALA hawana tena nafasi. Pili zao la Pamba ni dhahabu ya juu ya ardhi, kama hujui uliza uelezwe uwepo wa shirecu, Nyanza coop na Mara Coop jinsi uchumi ulivyokuwa unashamiri, lakini kufa kwa vyama vya ushirika ulififisha juhudi za kujiletea maendeleo wana LAKE ZONE. Ujio wa Magu yote hayo yalifufuka, leo zao la pamba limerudi ktk mstari wake Dhahabu ina soko la uhakika. Sheria ya madini ilivyobadilishwa ilileta manufaa sana kwa wana Lake zone, leo hii mwana lake zone akigundua dhahabu anatafuta muwekezaji na yeye anakuwa na mtaji kwenye biashara kwa kutumia ardhi hiyo kama. Magu alikuwa namba tofauti kwa watu wa kawaida, achana na majambazi.HALAFU WEWE USEME MAGUFULI HAKUFANYA KITU.MAJALIWA ALITUMIKA SANA KUFUFUA MAZAO YA BIASHARA.Kuna populatipn kubwa sana ya watu wa Kanda ya Ziwa ambayo haikufurahia kabisa utawala wa Magufuli.
Tusidanganyike na fikra kama vile watu wote wa Kanda ya Ziwa walimfurahia Magufuli, halafu tukaanza kuleta chuki dhidi ya Watanzania wenzetu walioumizwa na utawala dhalimu wa Magufuli kama ilivyo kwa wengine wengi.
Ifahamike kuwa Magufuli hakuwa msukuma, lakini alitumia ujanja ule ule, kuwaona wasukuma ni wajinga, akiwadanfanya kuwa na yeye ni msukuma, ili wamwunge mkono kwa sababu ya kabila lake.
Baba na babu yake marehemu walihamia Nzera (Sengerema), wakitokea Kigoma. Na huko Kigoma, mzee Machalila, babu yake marehemu, alihamia akitokea Burundi.
Hivyo mambo ya ajabu ya marehemu kuyahusisha na kabila la wasukuma, ni kutowatendea haki wasukuma.
Mfahamu kuwa marehemu ni wa ukoo wa mzilankende (yaani ngedere), na hakuna ukoo wa namna hiyo usukumani.
Ujinga huu peleka ChademaHello great thinkers...
Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.
Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.
Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)
Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...
Kwa nini tusifanye kama Marekani?
Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..
Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...
Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..
Fairness ndicho tunachokitaka...
Usiishi kwa kukariri, kila zama na kitabu chake.Utakuja kushangaa siku ikiwa tofautiOna hili Sukuma gang linavyoweweseka, Rais wa Tanzania anawekwa madarakani na Tiss na siyo kura za Wasukuma.
Ingekuwa ni hivyo Lowasa angetangazwa mshindi wa Urais.
Rudia kusikiliza hotuba ya Mbowe alipotoka gerezani, alikiri kwamba 3/4 ya wabunge wa chadema 2015 walitoka kanza ya ziwa, na waliongoza 1/3 ya halmashauri zote za kanda ya ziwa. Ngome ya ccm?????? acha basi ulongoHuko ndiyo kuna mtaji wa ccm,huko ndiko mahali ambapo watu hutumika ni rahisi kushinda huko kama ukiwa na mikakati na chain kubwa Kama ifanyavyo ccm miaka yote.
Hello great thinkers...
Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.
Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.
Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)
Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...
Kwa nini tusifanye kama Marekani?
Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..
Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...
Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..
Fairness ndicho tunachokitaka...
Ester bulaya hajawahi kuwa mkurya ni msukuma yule wa hapo bunda!Wakurya gani wanajielewa, hawa kina Waitara na yule mbunge wa Serengeti chacha ryoba ama kina Ester matiko na Ester Bulaya?
Mleta mada unajulikana ni sukuma gang tena saivi kuta kuchwa ni kuleta vimada vyenu uchwara humu ili mfanikiwe kupandikiza chuki zenuHello great thinkers...
Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.
Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.
Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)
Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...
Kwa nini tusifanye kama Marekani?
Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..
Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...
Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..
Fairness ndicho tunachokitaka...
Hivi hunjui ukizungumza kanda ya zowa wenye uchumi na influence sio wahaya wala wakurya ni wasukuma! Note that!Nafikiri ungesema wasukuma ungeeleweka, maana ukisema kanda ya ziwa kuna Mara na Kagera hakuna huo upumbavu na ushamba wa wasukuma.
Kwanza hata hao wasukuma kama kina Dialo hawataki hata kumsikia dikteta mwendakuzimu.
Hiyo Matola ni taahira achana nae! Hajui kuwa awamu ya nne ndo awamu ya kishenzi sana nchi hii!Uchomaji Moto wa makanisa hufanyika awamu zipi?
Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!
Kwa mara ya kwanza kabisa nimekubali kuamini kuwa, tatizo liliopo Zanzibar sio Muungano bali ni dini na wanatumia muungano kama kigezo. Mimi ni muislamu lakini nalipongeza Jeshi kwa kutoa kibano kwa wafanyaji fujo usiku huu huko mjini Zanzibar. Jumuiya ya UAMSHO itabidi ipigwe marufuku kabisa...www.jamiiforums.com
Tamko la Kanisa la Assemblies of God,Kuhusu uchomaji moto Makanisa.
Siku zimepita siku 4 tangu matukio mabaya na yenye kutia doa sifa ya amani umoja na Utengemano wa Taifa la Tanzania, yalijitokeza huko Mbaga...gospelvisiontz.blogspot.com