Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Feb 16, 2023 #81 Lucas mwashambwa said: Basi nenda Barabarani na familia yako tukuone Click to expand... Uje ww na familia yako utuzuie tukuone vizuri.
Lucas mwashambwa said: Basi nenda Barabarani na familia yako tukuone Click to expand... Uje ww na familia yako utuzuie tukuone vizuri.
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Feb 16, 2023 Thread starter #82 Tindo said: Uje ww na familia yako utuzuie tukuone vizuri. Click to expand... Wewe ndio ujitokeze kwanza Barabarani kutuletea bughuza ukione kitakacho kukuta,ndio utakuwa maana ya kutii Sheria bila shuruti ,utashughulikiwa na serikali yetu shupavu na madhubuti vizuri kwa mujibu wa sheria
Tindo said: Uje ww na familia yako utuzuie tukuone vizuri. Click to expand... Wewe ndio ujitokeze kwanza Barabarani kutuletea bughuza ukione kitakacho kukuta,ndio utakuwa maana ya kutii Sheria bila shuruti ,utashughulikiwa na serikali yetu shupavu na madhubuti vizuri kwa mujibu wa sheria
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Feb 16, 2023 Thread starter #83 Tindo said: Uje ww na familia yako utuzuie tukuone vizuri. Click to expand... Mimi naendelea na kazi zangu ,nataka nikuone wewe unayetaka kutukwamisha kazi ukipita Barabarani na mabango yako
Tindo said: Uje ww na familia yako utuzuie tukuone vizuri. Click to expand... Mimi naendelea na kazi zangu ,nataka nikuone wewe unayetaka kutukwamisha kazi ukipita Barabarani na mabango yako
Mwanasiasa mtata JF-Expert Member Joined Oct 25, 2022 Posts 1,520 Reaction score 3,781 Feb 16, 2023 #84 Lucas mwashambwa said: Mimi naendelea na kazi zangu ,nataka nikuone wewe unayetaka kutukwamisha kazi ukipita Barabarani na mabango yako Click to expand... Dogo hakuna teuzi kwa machizi. Acha kujikomaza kwa vitu vya kijinga
Lucas mwashambwa said: Mimi naendelea na kazi zangu ,nataka nikuone wewe unayetaka kutukwamisha kazi ukipita Barabarani na mabango yako Click to expand... Dogo hakuna teuzi kwa machizi. Acha kujikomaza kwa vitu vya kijinga
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Feb 16, 2023 #85 Lucas mwashambwa said: Mimi naendelea na kazi zangu ,nataka nikuone wewe unayetaka kutukwamisha kazi ukipita Barabarani na mabango yako Click to expand... Kwani mimi kazi zangu zimesimama? Uje na mkeo au basha wako tuwaone mnavyotuzuia.
Lucas mwashambwa said: Mimi naendelea na kazi zangu ,nataka nikuone wewe unayetaka kutukwamisha kazi ukipita Barabarani na mabango yako Click to expand... Kwani mimi kazi zangu zimesimama? Uje na mkeo au basha wako tuwaone mnavyotuzuia.
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Feb 16, 2023 Thread starter #86 Mwanasiasa mtata said: Dogo hakuna teuzi kwa machizi. Acha kujikomaza kwa vitu vya kijinga Click to expand... Hii siyo barua ya maombi ya uteuzi Bali Ni juu ya welesi itakayokuwa nayo kushinda kwa kishindo uchaguzi ujao
Mwanasiasa mtata said: Dogo hakuna teuzi kwa machizi. Acha kujikomaza kwa vitu vya kijinga Click to expand... Hii siyo barua ya maombi ya uteuzi Bali Ni juu ya welesi itakayokuwa nayo kushinda kwa kishindo uchaguzi ujao