Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Basi nenda Barabarani na familia yako tukuone
Uje ww na familia yako utuzuie tukuone vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nenda Barabarani na familia yako tukuone
Wewe ndio ujitokeze kwanza Barabarani kutuletea bughuza ukione kitakacho kukuta,ndio utakuwa maana ya kutii Sheria bila shuruti ,utashughulikiwa na serikali yetu shupavu na madhubuti vizuri kwa mujibu wa sheriaUje ww na familia yako utuzuie tukuone vizuri.
Mimi naendelea na kazi zangu ,nataka nikuone wewe unayetaka kutukwamisha kazi ukipita Barabarani na mabango yakoUje ww na familia yako utuzuie tukuone vizuri.
Dogo hakuna teuzi kwa machizi. Acha kujikomaza kwa vitu vya kijingaMimi naendelea na kazi zangu ,nataka nikuone wewe unayetaka kutukwamisha kazi ukipita Barabarani na mabango yako
Mimi naendelea na kazi zangu ,nataka nikuone wewe unayetaka kutukwamisha kazi ukipita Barabarani na mabango yako
Hii siyo barua ya maombi ya uteuzi Bali Ni juu ya welesi itakayokuwa nayo kushinda kwa kishindo uchaguzi ujaoDogo hakuna teuzi kwa machizi. Acha kujikomaza kwa vitu vya kijinga